Jerry Muro, wapi alipo?

Jerry Muro, wapi alipo?

QUOTE=boma2000;Mimi nijuavyo TBC1 na TBC ni mali ya watanzania wote. Sasa ukisema inamilikiwa na mafisadi 100% sikuelewi kwani tuliiuza lini?

Mkubwa,ina maana hajui kweli au? Upo TZ kweli? Unashangaa mafisadi kumiliki TBC1? Mbona hushangii mafisadi kumiliki nchi yote? Habari ndo iyo.
 
I know the right of the accused person, he has fundamental right under the constitution, presumption of innocence. "No body is guilty until he is proved guilty" not "guilty till proved innocent" If I was jurror in this case I would find Jerry Muro guilty as charged because prosecution has proved its case beyond reasonable doubt. I cannot fathom how a prominent reporter found with handcuff and at different occasion seen with a person who is alleged misappropriation of public funds. Peace no hate

verdict has not been read yet so dont influence the case!!of handcuff!!,..how could you provethe cuffs were his??how do u prove they werent planted by fisadis,....being seen with an alleged person doesnt make guilty,if that is the case JK hasnt only been seen in broad day light on public tv stations but he also dines and wines with them.,,...mramba,lowassa,rostam
 
Wadau leo nimekaa nikajikuta namkumbuka kijana mtanashati Jerry Muro aliyeruka Mkojo akakanyaga nanihii!,

Siku hizi yupo wapi??.
 
Inasikitisha kama sio inatia huzuni, lakini amepotea kwa muda, ngoja tuona kurejea kwake kutakuaje.
 
hayo matatizo alonayo ingekuwa ni wewe na ukaona mtu ameanzisha thread kama hiyo ungejisikiaje?
 
hata kama ulikuwa humpendi lakini sidhani kama ni uungwana kushabikia matatizo yake.
Umesikia wapi kwamba hicho ulichoandika ni cha ukweli??, Chunga vidole vyako ndugu mimi ni mwanadamu na nina utashi kuliko unavofikiria!
Respect!
 
@
user-online.png
i'm osama

Lengo langu sio Baya na nadhan unakuwa mnafiki, Hivi kwa mfano wewe ungekuwa mtoto wa osama alafu unakuta mtu anatumia picha ya baba yako kama wewe unavotumia picha ya kifu cha Osama akiwa kajeruhiwa utajisikiaje???

Fikiria kwanza na ujibu usikurupuke na wala usiwashwe na hisia swali ni Jerry Yupo wapi??
 
@
user-online.png
inols

Ngoja Tusubiri but Sijajua kama yupo rumande au yupo nje kwa Mdhamana!. I hope haki itatendeka!
 
Unaona 2livyo hata kama alikuwa na yake lakini alikuwa anafanya ki2 kizuri ,wengine mnamdhihaki,acha mambo hayo........
 
Nampenda Jerry Muro ni shujaa wetu wanyonge. Yahu atamwinua hata kama Watu waovu wanamwangamiza. Jerry Upaterehema. Kumbuka Hakuna raha inayokuja bila kusota kidogo. Mkumbuke YUsuf Ktk Biblia alisota miaka 12 kwa hiyana ya mke mzinzi lakini baadaye alipeta. Jipe nguvu. Nasikitika kila nikimwona kiingia Kizimbani
 
Hana lolote badala ya ku deal na mafisadi papa anahangaika na polisi
 
Nampenda Jerry Muro ni shujaa wetu wanyonge. Yahu atamwinua hata kama Watu waovu wanamwangamiza. Jerry Upaterehema. Kumbuka Hakuna raha inayokuja bila kusota kidogo. Mkumbuke YUsuf Ktk Biblia alisota miaka 12 kwa hiyana ya mke mzinzi lakini baadaye alipeta. Jipe nguvu. Nasikitika kila nikimwona kiingia Kizimbani

I used to enjoy alivokuwaga anareport, na tatizo ni watu kutokubali makosa na kudhani kwamba wanaingiliwa, Kikubwa ni kwamba wanafanya kama kumkomoa, WAPI UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, Nini kosa la kijana wa Watu!??
 
Hana lolote badala ya ku deal na mafisadi papa anahangaika na polisi

Sawa hana lolote lipi ambalo angefanya then useme kafanya kitu kama sio kuonyesha kwenye media mabaya ya Polisi??

Nani hajui kwamba polisi wnakula Rushwa??
Nani ameshawah kuwanyoshea kidole??
Hao mafisadi wenyewe wamekamata Dola!

Poa bwana ni uhuru wa mawazo!
 
Muombeeni tu kesi yake iishe salama utaona vitu vyake, mimi namkubali sana sana na namiss kutomuona kwenye ulimwengu wa habari. God help him please. Kipindi cha usiku wa habari alipoenda TBC kilikuwa kinavutia sana na kilipata wapenzi wengi kutokana na umaarufu wake aliotoka nao ITV. Anyway, a day will come!
 
Unaona 2livyo hata kama alikuwa na yake lakini alikuwa anafanya ki2 kizuri ,wengine mnamdhihaki,acha mambo hayo........

MLIVYo wewe na nani?? Inakuaje Mwana JF huwezi unalalamika?
 
Back
Top Bottom