gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
jamaniii! Namwonea huruma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana lolote badala ya ku deal na mafisadi papa anahangaika na polisi
Hivi watu wakiambiwa mahandsome wapite mbele jerry nae atakwenda!!! Mmhh, sasa itabidi nielimishwe upya maana ya neno handsome. Tatizo la huyo dogo ni ulimbukeni wa umaarufu! Alitaka apande chat kwa kutumia sensitive issues ambazo yeye alidhani ni za kawaida. Mimi simwombei mabaya lakini hilo liwe funzo kwake kwamba pamoja uhuru wa habari bado hekima na busara vinahitajika katika kuamua habari gani iwe aired na kwa namna gani au habari gani isubiri muda mwafaka au habari gani isitangazwe kabisa.
Njooni hongera bar sinza jioni mtamkuta huwa anakaaga sana anasoma magazeti
Wadau leo nimekaa nikajikuta namkumbuka kijana mtanashati Jerry Muro aliyeruka Mkojo akakanyaga nanihii!,
Siku hizi yupo wapi??.
sijui unamaanisha nini hapo kwenye red mkuu...
ila kijana MURO mi nilimfagilia coz ni mtu jasiri aliyeweza kuonyesha uozo wa baadhi ya sekta, hawa ndo waandishi tunao wataka sio wale wa kujipendekeza kwa kina RA, LA et al ili wapate mkate wa siku.. pumb**u zao
Ulichoelewa nini??
hayo matatizo alonayo ingekuwa ni wewe na ukaona mtu ameanzisha thread kama hiyo ungejisikiaje?
He! JF bana...Wewe siumekufa?! unatafuta nini JF au unataka Navy SEAL waibukie hapa??!..
Mkuu naona umekosea kidogo. Tuseme Asange (Wikileaks) na yeye anatafuta umaarufu?. Jerry ni mwandishi aliyethubutu kutumia taaluma yake kufichua rushwa zilizokithiri ndani ya jamii ya watanzania.Hivi watu wakiambiwa mahandsome wapite mbele jerry nae atakwenda!!! Mmhh, sasa itabidi nielimishwe upya maana ya neno handsome. Tatizo la huyo dogo ni ulimbukeni wa umaarufu! Alitaka apande chat kwa kutumia sensitive issues ambazo yeye alidhani ni za kawaida. Mimi simwombei mabaya lakini hilo liwe funzo kwake kwamba pamoja uhuru wa habari bado hekima na busara vinahitajika katika kuamua habari gani iwe aired na kwa namna gani au habari gani isubiri muda mwafaka au habari gani isitangazwe kabisa.