PreGE2025 Jerry Murro: Gwajima njoo jimbo la Kawe ueleze wananchi boti za uvuvi ulizoahidi Kawe ziko wapi, amtaka aachane na kuandaa michezo ya rede jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
 
Gwajima ndiye mamlaka ya kutoa Passport nchi hii??
 
Jitahidi uwe unashirikisha ubongo
Mkuu kiuhalisia wewe ndo huna akili na jina lako la vinembe, siku nzima upo na Gwajima, hauna kazi za kufanya!!??.., najua unalipwa kupost upumbavu wako kila saa lakini jaribu kuvaa viatu vya waliopoteza ndugu zao, hata kama huna akili jaribu kuficha upumbavu wako. Kuna watu mnastahili kupigwa risasi hadharani. Mnaboa sana.
 
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
Wewe mwenyewe unasemaje!?
 
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, aina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
Hana akili. Viva Gwajima 💪🦾🦾!!!
 
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
Kwani ni gwajima tu ambaye aliahidi bila kutekeleza? Kabla ya kumhukumu gwajima ungetueleza ni mbunge gani wa ccm ametekeleza japo 20% tu. Kisha malizia na ccm wenyewe. Waliaahidi nn na wametekeleza nn tangu uhuru
Jitahidi uwe unashirikisha ubongo
Unaweweseka tu hapo. Wewe ulianza lini kushirikisha ubongo!?
 
Kwani ni gwajima tu ambaye aliahidi bila kutekeleza? Kabla ya kumhukumu gwajima ungetueleza ni mbunge gani wa ccm ametekeleza japo 20% tu. Kisha malizia na ccm wenyewe. Waliaahidi nn na wametekeleza nn tangu uhuru

Unaweweseka tu hapo. Wewe ulianza lini kushirikisha ubongo!?
Hapa tunamuongelea laghai
 
Tuanze kwanza na hoja zake za msingi, ndio twende jimboni kwake? Kabla ya kuzungumza mbona Jimbo lake lilikuwepo.
 
Hapa tunamuongelea laghai
Jibu swali. Usiweweseke kwa vihoja vya taarabu. Ni gwajima tu ndo hajatimiza ahadi zake? Ccm waliahidi mangapi 2020 wameyatekeleza? Je siyo kweli kwamba watu wanakunywa maji ya TOPE MPAKA LEO 60 Yrs plus baada ya uhuru?
Ulijua lini kwamba gwajima ni laghqi?
Ulishawahi kusema popote?
Acha unafiki na ukasuku
Jibu hoja za gwajima
 
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
Ujinga mtupu, walikuwa wapi sikuzote kuuliza hayo yote.

Acheni vihoja, jibuni hoja.
 
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.

Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.

Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna kitu.

Jerry Murro anamuita mbunge wake akajieleze, Kawe inamuita Gwajima
Atapeleka wenye passport tu. Pambaneni muwe na passport
 
Kwani Chama dola ni nani asiye muongo,ni kwamba Gwajima kawazidi wenzake hadi wameshangaa ndio maana wanamjibu.Hapo lengo lao wanataka wajue Gwajima anakojifunzia uongo nao waende huko.
 
Back
Top Bottom