PreGE2025 Jerry Murro: Gwajima njoo jimbo la Kawe ueleze wananchi boti za uvuvi ulizoahidi Kawe ziko wapi, amtaka aachane na kuandaa michezo ya rede jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani sikujua Kuna wachaga wajinga hivi uwiiii Umeniabisha kaka yangu
 
Mkuu kiuhalisia wewe ndo huna akili na jina lako la vinembe, siku nzima upo na Gwajima, hauna kazi za kufanya!!??.., najua unalipwa kupost upumbavu wako kila saa lakini jaribu kuvaa viatu vya waliopoteza ndugu zao, hata kama huna akili jaribu kuficha upumbavu wako. Kuna watu mnastahili kupigwa risasi hadharani. Mnaboa sana.
Umemshauri vizuri ila Mimi naona ajarbu hata kuazima akili ya shemeji yake.
 
Propaganda za kipumbavu. Tuleteeni na zile video alizokua anadinya 🤣🤣
 
Kuna mbunge yoyote wa CCm aliyetekeleza alicho ahidi kwanza kwa dar ni aibu wilaya zote ni aibuuu
 
Mkuu kiuhalisia wewe ndo huna akili na jina lako la vinembe, siku nzima upo na Gwajima, hauna kazi za kufanya!!??.., najua unalipwa kupost upumbavu wako kila saa lakini jaribu kuvaa viatu vya waliopoteza ndugu zao, hata kama huna akili jaribu kuficha upumbavu wako. Kuna watu mnastahili kupigwa risasi hadharani. Mnaboa sana.
Madako gako
 
Back
Top Bottom