Jerry Nashon dudumizi ndio mwimbaji bora wa wakati wote. Nimejiridhisha

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.

Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba dudumizi ndio Michael Jackson wa Tanzania. Franko Luambo Makiadi wa Tanzania na Bob Marley wa Tanzania.

Wale msiojua musiki msikomenti hapa. 😉
 
Mwamvua (Pesa Zinanisumbua) wimbo wangu Namba Moja bora kabisa kwa Nyimbo za Bendi! Mwamba aliimba bana! R.I.P Dudumizi!
 
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.
Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba dudumizi ndio Michael Jackson wa Tanzania. Franko Luambo Makiadi wa Tanzania na Bob Marley wa Tanzania.
Wale msiojua musiki msikomenti hapa. [emoji6]
Hukumweka Cosmos Tobias Chidumule
chidumule.jpg
 
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.

Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba dudumizi ndio Michael Jackson wa Tanzania. Franko Luambo Makiadi wa Tanzania na Bob Marley wa Tanzania.

Wale msiojua musiki msikomenti hapa. [emoji6]
Sijawahi kujuta kumfanya chaguo langu la kwanza.
 
Mbaraka
Marijan
Dk remmy
Manet
Bitchuka
Eddy sheggy
Jerry nashon
Fresh jumbe
 
Back
Top Bottom