Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hukumweka Cosmos Tobias ChidumuleSiyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.
Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba dudumizi ndio Michael Jackson wa Tanzania. Franko Luambo Makiadi wa Tanzania na Bob Marley wa Tanzania.
Wale msiojua musiki msikomenti hapa. [emoji6]
Mwimbaji mzuri. Ila dudumizi mkali zaidiHukumweka Cosmos Tobias ChidumuleView attachment 1828940
Acha joke...kuna tofauti kubwa sana kati ya MwanaMuziki na Msanii.nyimbo zake zina views ngapi?
Haoni ndani zidi ya Mbaraka Mwinshehe na wimbo wake SHIDA HAINA NGOJA NGOJAAcheni zenu mwamba wangu ni mzee wa kifo hakina huruma
Kipenda roho-remy ongala
Sijawahi kujuta kumfanya chaguo langu la kwanza.Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini.
Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba dudumizi ndio Michael Jackson wa Tanzania. Franko Luambo Makiadi wa Tanzania na Bob Marley wa Tanzania.
Wale msiojua musiki msikomenti hapa. [emoji6]
Huyu mzee alinifurahisha alipookokaHukumweka Cosmos Tobias ChidumuleView attachment 1828940