DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mwanagati ni balaa!Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za kivule na bomba mbili Hadi kwa mkoremba watu wamevunjika migongo barabara chafu hazina lami , mashimo hivi unakwama wapi yaani nyie CCM Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni
Stakishari yote zaidi ya miaka 30 hakuna repair jiji la Dar? Lakini nasikia kuna mradi wa DMDP Ngoja tusubiri tuone.Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.
Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.
Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Acheni ushamba, mbunge hajengi barabara.Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.
Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Sawa 2025 sio mbali sanaAcheni ushamba, , mbunge hajengi barabara.
Yeye hawezi kuamuru barabara zijengwejimboni, san sana atashawishi fedha ikipatikana.
Hata 2025 hizo barabara kama mmeshindwa kujenga sasa bado mtaogelea matope tu, kwani hakuna kitu ch ajabu mnachoweza kukifanya zaidi ya kupiga kelee za kutaka barabara.Sawa 2025 sio mbali sana
Huyo Asia wako ana mpunga?Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.
Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
kazi kubwa ya Mbunge wako ni kuwawakilisheni Bungeni siyo Utarura au Utanroad.Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.
Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.