Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

Mm sitamnyima kura kwa haya mabarabara bali upuuzi wake wa kuiomba serikali ituongezee kodi wana Ukonga.

Kwangu mtaa wa Dispensari Matembele 1 kuna huduma fifu sana za jamii lkn bado anataka tuongozewe kodi.

Bi Msangi atashinda kiurahisi 2025.
 
Na nyie chadema mnatuchosha na huyo Asia msangi ...kwani lazima awe yeye TU kwani ukonga wanachadema wenye sifa ya kugombea hamna ? Asia Hana hiyo nguvu tafuteni chuma Cha maana
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Mkuu tatizo sio CCM, tatizo ni ushawishi wa Mbunge katika kulipambania Jimbo lake kupata fedha za kibajeti na wafadhiri wa kuijenga miundombinu, Ukonga ni vigumu kuwa na maendeleo endelevu kwasababu rushwa ndio msingi wa kuupata uongozi.
 
Kuna mbunge mmoja alikuwepogi huko,alikuwa mwanamama jina limenitoka ila RIP aise alikuwa kiburi
Sana [emoji1]

Ova
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Mmmh Dr gani wee Ni lipi ccm linaweza kufanya na wee hata hvyo kwnn usichukue wew fomu
 
MMMMM yaani barabara HADI unayahurumia MAGARI yenye hayasemi lakini nayo yanaumia. Kuna sehemu nauli shs 1000 napo kulipata basi shugjuli. TOKA banania hadi kitunda relini mama YANGU. Toka kivule mwembeni kabla ya kuvuka mto mzinga Hadi frame kumi Hadi msongola , maweeeeeeeee. Njia panda segerea relini ambaa na HIYO barabara mpaka kivuko kipya ukonga, au nyoosha uende gmboto Hadi PUGU oh my god.twafaaaaaaa.
Mkuu usemayo ni kweli road imejaa mahandaki nimepita uko leo nimeona kuna hospital kubwa tu apo nkawaza ikitokea rufaa au mgonjwa kupelekwa apo anafikaje asee?? Road ni mbaya sijawahi ona mwenyeji wangu akaniambia uku wakurya wameridhika zao nana pikipiki au baiskel za mayai au maziwa mmeridhika zenu muambiwe nn na mbunge juzi juzi naskia kutengeneza road ndo naafuu mkaipata, ni ilala apo mjue jiji yaan sasa sijui asee
 
Back
Top Bottom