Marashi ndiyo kasema na nilikua namjibu yeye sorry mkuu!!Mkuu ni nani alieandika kuwa kuna fidia yoyote anamdai Jerry Silaa?
Huyu Jamaa Jembe sana!!Kuna kesi ambazo zipo mahakamani kwa zaidi ya miaka 20 bila kutolewa maamuzi. Sasa kama mahakamani hawatafuti mwanya wa kupewa rushwa na matapeli ili wapindue haki ni nini?
Huyo mama pichani alikuwa katibu mkuu wakati wa serikali ya Nyerere. Alitapeliwa kiwanja toka enzi za Nyerere mpaka leo Samia. Ashafungua kesi mahakamani toka enzi za Mkapa, kaja Kikwete, kaja Magufuli na mpaka sasa Samia mahakama ilikuwa bado haijampa haki yake.
Silaa alivyoingilia kati mama kapata haki yake chini ya week moja tu. Sasa kama wewe ni mtoto au ndugu wa huyo mama bado utaamini tena mahakama?
Mambo mengine tusimnyime mtu haki yake kisa haumpendi au mtu unaemkubali hampendi basi na wewe unakimbilia kumchukua hata kama hana tatizo na wewe. Silaa amefanya mambo makubwa kwa muda mfupi kuliko waziri yoyote wa ardhi aliepita toka Nyerere mpaka Samia.
Raisi anazidiwa ujanja na washauri wake ambao wengi wao wanafaidika na wizi wa ardhi. Hao ndio waliomshauri amtoe pale na kumpeleka kusikojulikana, ili pale awekwe mtu wao wa kumdhibiti kiurahisi bila raisi kujua.Wamemtoa jerry kusudi ili wababe wa ardhi wazidi kuwazulumu wanyonge tangu ameingia huyu waziri badala ya jerry kumekuwa kimya hakuna anaesaidiwa matatizo ya ardhi na akuna tena ile klinik ya ardhi kutatua kero na sasa yatarudi yale ya zamani kupata hati mpaka uhonge, sasa hivi ukitaka kupimiwa nyumba yako ukienda ardhi wanakuambia lete million 1 tukipimie wanakuja kupima na kuweka mipaka yako pesa zinaingia mifukoni tena anakuja anategeneza mgogoro wewe na jirani yako ukilalamika mbona ardhi yangu kipande umempa jirani anakuambia lete million 1 na wewe tukupimie mipaka yako nimefanyiwa juzi na jirani yangu ilala kamleta mpimaji kamuwekea mpaka kwenye geti langu namuuliza mbona nyumba yangu na kwenye hati meter urefu na upana ipo sawa kama ilivyo kwenye hati anasema wewe umezidi kwa huyu na weww ardhi yako jirani wa pili kakuchukulia lete million tukupimie sasa anatengeneza ugomvi majirani tumeishi zaidi ya miaka 25 bila matatizo
Huko hakuna wizi, sasa unatarajia umuone anampigania nani alieibiwa haki yake?Huyu kijana toka atolewe ardhi amepoa.
Zile kashi kashi vs mushi +mahululu hazipo tena.
Hamna tena zile kauli za ma tycoon wa ardhi.
Yeye ni mpiga kura au mkurugenzi wa tume ya uchaguzi?Elewa madamu prezidaa hatafuti mchapakazi anatafuta mleta kura... Sikila mchapakazi huleta kura nyingi!!
Wenye vituo vya mafuta wana nguvu sana huko serekalini na ndiyo wamemuondoa Jerry Aridhi!!Raisi anawazia 2025 na wanao weza kumpigia kampeni kwa kumuingizia mapikipiki kumfadhili helikopta na MAFUTA
Zaidi wanao Wateja na kuwapoteza washindani wake
Lakini aelewe MUNGU hafananishwi na yeyoto
Na majibu ni hapapapa Duniani
Jerry ni tapeli kama hao matapeli wengine uliotaja,usidanganywe na sanaa unazoziona kwenye runinga mkuuNiaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI 🙏🙏
Maza nae kwa kupangua pangua hajambo!