Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele

Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele

Jerry ni tapeli kama hao matapeli wengine uliotaja,usidanganywe na sanaa unazoziona kwenye runinga mkuu
Hayajakukuta ndiyo maana unatomboka hovyo,haya maneno akiyasikia yule Mama aliyekua Katibu kipindi cha Mwalimu aliyerudishiwa haki yake na Jerry atakuona unaongea kama mzushi tu uliyetumwa na matapeli wa Aridhi kumtukana Jerry!!
 
Jerry ni tapeli kama hao matapeli wengine uliotaja,usidanganywe na sanaa unazoziona kwenye runinga mkuu
Matapeli ya ardhi huwa hayapendi kabisa kulisikia jina la Slaa likitajwa au kusifiwa. Maana yanahisi kuwa huenda sifa hizo zikapelekea kurudishwa tena ardhi akawahenyeshe.

So kinachofanyika, ni matapeli hayo kusambaza chawa wao mitandaoni ili wawasaidie kumponda asirudishwe ardhi.
 
Hayajakukuta ndiyo maana unatomboka hovyo,haya maneno akiyasikia yule Mama aliyekua Katibu kipindi cha Mwalimu aliyerudishiwa haki yake na Jerry atakuona unaongea kama mzushi tu uliyetumwa na matapeli wa Aridhi kumtukana Jerry!!
Anaesema Jerry Slaa ni tapeli, atuthibitishie hapa alichotapeliwa na Slaa. Bila hivyo waache kuandika ujinga mbele ya watu wenye akili kama sisi, ni aibu.
 
Ndugu yangu nisome unielewe.
Tunatakuwa kupambana na mifumo mibovu,Mahakama na mabaraza ya ardhi yanatakiwa kumulikwa kutazamwa kwanini yanashindwa kutoa haki.

Hizi habari za kuhangaika na watu badala ya mifumo ndio sababu Tanganyika bado tuko nyuma sana.Unawezaje kutatua matatizo kwa kutegemea mtu (Jerry) badala ya mifumo bora ?.
Uko sawa Ngongo!!!
 
Back
Top Bottom