Ndugu yangu nisome unielewe.
Tunatakuwa kupambana na mifumo mibovu,Mahakama na mabaraza ya ardhi yanatakiwa kumulikwa kutazamwa kwanini yanashindwa kutoa haki.
Hizi habari za kuhangaika na watu badala ya mifumo ndio sababu Tanganyika bado tuko nyuma sana.Unawezaje kutatua matatizo kwa kutegemea mtu (Jerry) badala ya mifumo bora ?.