Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe!

Jerry Silaa: Magufuli acha ubabe!

Huyu Meya najua yuko hapa JF ila ana akili fupi na Magufuli ana hoja ya msingi..

Watu wenyewe walioweka mabango hawalipi kwa sababu serikali na wanaohusika ni legelege ,, Sasa kwa nini barabara isiongezwe ili kupunguza foleni.. Huyu jamaa hajui kuwa serikali inapoteza mapato kiasi gani na nguvu kazi kwa sababu ya watu kuishi barabarani kwenye foleni kubwa..eti mabango yanaiingizia serikali pesa kwa hiyo barabara zisipanuliwe...
BIG JOKER....
Enzi hizo unamuunga mkono mzee baba akivunja sheria hahahah
 
KUMBE TATIZO NI HILI..
"Nchi hii siyo ya kwake na lazima atambue kuwa halmashauri zote ziko kisheria hivyo atumie vikao rasmi kutoa maagizo yake,"alisema Silaa
LEO NIMEPATA JIBU
Wazee wa kufukua nyuzi hii ni 2012, kuna wengine walikuwa form II humu....
 
KUMBE TATIZO NI HILI..
"Nchi hii siyo ya kwake na lazima atambue kuwa halmashauri zote ziko kisheria hivyo atumie vikao rasmi kutoa maagizo yake,"alisema Silaa
LEO NIMEPATA JIBU
Cha ajabu huyo huyo Magufuli karuhusu machinga mpaka barabarani.
 
Back
Top Bottom