Jerry Silaa ni mtoto wa Dkt. Slaa?

Jerry Silaa ni mtoto wa Dkt. Slaa?

Kwahiyo wewe unaishi kwa kukopi na kupesti!
Mara nyingi kwenye vyombo vya habari Tv na mtandaoni naona akiitwa Jerry Slaa
Screenshot_20231224-101633.png
Screenshot_20231224-101519.png
Screenshot_20231224-101415.png
 
Sio anadai baba yake alikuwa rubani bali ndivyo ilivyo.

Baba yake alifariki kwa ajali ya ndege akiwa na Filikunjombe.

Inasemekena mafsadi ya ccm yalimmaliza yakimlenga Filikunjombe asiwe Waziri mkuu kuanzia 2015
 
Back
Top Bottom