Jerry Silaa: Serikali iwe na Mfumo mmoja wa Kielektroniki wa kuendesha Shughuli zake

Jerry Silaa: Serikali iwe na Mfumo mmoja wa Kielektroniki wa kuendesha Shughuli zake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mbunge wa Ukonga akichangia bajeti ya Wizara ya Habari na Mawasiliano leo Bungeni, amesema licha ya Serikali kuwa na Kituo cha Taifa Cha Takwimu za Mtandao (NIDC) na Mamlaka ya Serikali ya Mtandao (eGA) ambayo inasimamia mifumo ya Tehama ya serikali bado nchi yetu haina Mfumo Mkuu wa Kanzidata (Central Database System) ambayo inataarifa zote muhimu za Mtanzania.

Amesema “leo Mtanzania akitaka kuomba mkopo ataombwa nyaraka mbalimbali kwa sababu hakuna sehemu moja ambapo benki itaenda ikakuta taarifa zote za mtanzania huyo na kuweza kumsaidia”

Ameendelea “ juzi nilitembelea ofisi ya mtu mmoja nikamkuta ana sign nyaraka za mikopo sio chini ya 40 na ametia sahihi mara 219 kitu ambacho tungekuwa na Central Database System angesign tuu kielekroniki “agreed” angepata mkopo wake.
 
Back
Top Bottom