Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

Huyu kalewa madaraka, si ni bunge Lao limestisha kushughurikia mafisadi?

Kuna watu hawajielewi nchi hii hata wangesoma wafike wapi yaani!

Pesa zinapigwa kila leo halafu wanaona vema tu wananchi kulundikiwa kodi?
 
Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.

Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
Kama wameiba zile, unadhani hizi zitapona? Hapo tayari washaanza kuzikodolea macho na kudondokwa mate kwa kuzitamani.

The point, watafute mbinu za kurudisha pesa ndefu iliyopigwa. Ama sivyo, wajiuzulu tu, kazi tuliyodhani wangeifanya obviously imewashindwa.
 
Kweli Jobu alisemaga eti kwamba eti kwamba eti liinchi gani huko sijui litapigwa mnada. Jobu huko aliko Uturuki anawachora tu.
 
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.

Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.

Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.

My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Hizo tozo wakatwe watu wa Dar peke yake.
Sisi Mwanza hatutaki kusikia vitu vinavyofanana na tozo.
 
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.

Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.

Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.

My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Kijana wa hovyo ssna huyu
UJqmbazi wao wa fedha za umma umewatoa aibu kabisa.

Wanaona raia ndo walipie gharama za uzembe wa usimamizi wa rasilimali na mapato ya Taifa.

Jimbo lake limepata garasa na si mwakilishi
 
Ni vema angependekeza namna ya kudhibiti ufujaji wa pesa ya umma angalao kwa 50%, tutapata si chini trilioni 1.3 ambazo ni mara 10 ya hizo bilioni 130.
 
Ni mawazo mazuri sana na hiyo itasaidia kua na jini lenye barabara bora
Kabla haujaambukizwa hasara za kifikra na mtoa hoja Bungeni.

Jiulize hizo fedha zilizotengwa kwa barabara ni ngapi zilitolewa na zilizotumika ni kiasi gani na hela ngapi imerudi na ngapi imeibiwa.
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga ,Mhe.Jerry Silaa amependekeza ongeza la tozo ya tsh 100 kwa kila lita kwa mafuta yanayonunuliwa jiji Dar es Salaam ili zikusanywe tsh billion 130 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua.....
Je ni wakati sahihi wakumtwika zigo jingine mwananchi kutokana ugumu wa maisha uliopo kwa sasa..?
Nalileta kwenu wanaJF..
Twende kazi
 
IMG_5913.jpg
 
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.

Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.

Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.

My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
MBUNGE KICHAA
 
Huyo dogo nilimdharau tangu alipoitwa na kamati ya Ndugai akaenda na masanduku ya nguo kajaza vitabu na notes
 
Sina uhakika kama hawa ni watanzania.

Jerry Slaa hata bila aibu anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe?

Maumivu ya tozo hayajapona kwa watanzania, tunatakiwa tena tupigwe tena kwenye mafuta.

Mishahara na marupurupu kwa wabunge vingepunguzwa naamini tungekuwa na wabunge wenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom