Pre GE2025 Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

Pre GE2025 Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ni Ujinga sasa. Unadhani wote wameajiriwa? Kama una Biashara Banana au una Bucha Machinjio yako wapi??
Ile ni wilaya nyingine na lile ni jimbo jingine, it takes a crazy person kutoka mjini aje mpaka banana kitunda mwanagati wakati kuna njia ya kupita buza ambapo ni karibu zaidi...ndiyo hawa wanakuja kuleta lawama za barabara bila kujali wako jimbo gani wilaya gani....smh
 
Back
Top Bottom