Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

--

Mamlaka zatolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo, kujua zaidi soma TARURA yaelezea kuhusu Daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6

View attachment 2786231
Chadema ni matapeli,wazushi na wapuuzi

View: https://www.instagram.com/p/CyvBgqxtxGY/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

--

Mamlaka zatolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo, kujua zaidi soma TARURA yaelezea kuhusu Daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6

View attachment 2786231

Duu
 
Watu wezi mno,au labda amemaanisha 1.7b

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

--

Mamlaka zatolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo, kujua zaidi soma TARURA yaelezea kuhusu Daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6

View attachment 2786231
Hii awamu imerudisha majangili yote
 
17 b inawezekana ikawa kwel au inaweza kua uongo
Serikal inafanya vtu vyake kwa utaratibu sana na unaweza ona kaz ni ndogo ila taratibu zote za ujenzi zimefatwa
Apo kuna servey kuna mchola laman na kuna injinia alosimamia kaz lakin pia wajenzi na vibarua wao hulipwa kulingana na sheria za kaz

Lakin pia serikal inatatizo la kutokulipa watu walochukua kandalasi ya kusaply vifaa, serikal anaweza chukua nondo mwezi wa 8 akaja kukulipa mwezi wa 12 kwaiyo iyo inasababisha watu walochukua tenda ya kusaply vifaa kuongeza bei za vifaa ili kufidia mda wa kuchelewa malipo
Kwa sisi tunaofanya kaz za kusapply vifaa kwenye miradi ya serikal tunaongeza sana bei za vifaa na hii ni kutokana na ucheleweshaji wao wa malipo lkn pia malipo yao huwa na makato meng sana ya kiserikal
Service revy 1%
With holding tax2%
Vat18%
Na bado kuna 10% ya walokupa tenda

Huwa nikipita sehemu nikakuta wanachi wameharibu miundombinu ya serikal huwa nacheka sana sabu hawajui ni hasara kias gan wametia na ni gharama kias gan kufanye ripea
Apo kwenye dalaja kuna kingo za chuma izo kingo zimetumia black pipe au square pipe bei yake walouziwa sio sawa na bei ya mtu wa cash na izo kingo ndo huibwa sana na wananchi
 
Kauli ya urefu wa kamba ilimuwa na maana kubwa Sana .hii kauli mjue ilitoka kwa mkuu wa nchi
 
Back
Top Bottom