Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii source ya habari ina mafua. Itakuwa milioni 17Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.
View attachment 2786231
Hakuna gharama kama hiyoni stori ndefu.. juu ya ubora lakini
Wew ni bonge la Fala kweli ukomo wa rais unaishia wapi ,kama rais anateua kila mtu haoo watu wanawajibika kwake moja kwa mojaKwani wewe huna ukomo wa mambo Yako? Ukiwa una salary unataka ule Kwa ukomo wa salary ya nani Sasa.
Kwanza sijawahi ona shida ya hiyo Kauli ila nyie ndio mnataka ifanane na vile mnavyotaka.
Mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake maana yake nini?
Wewe ndio fala,Kwa hiyo Kwa kuwa wanateuliwa na Rais basi Rais atajuweoo Kila mahala waliko Kuwasimamia si ndio? Kuwa na akili usiwe mpumbavu.Wew ni bonge la Fala kweli ukomo wa rais unaishia wapi ,kama rais anateua kila mtu haoo watu wanawajibika kwake moja kwa moja
Siku Moja Mtanikumbuka, Na Mimi najua Mtanikumbuka Kwa Mazuri na Sio Kwa Mabaya - Hayati Rais Magufuli.just imagine waziriii anaingizwaa king kifalaa hiviii... ndo maana MAGU atabaki kuwa kiongozi best miaka yote
Kila mtu kwa urefu wa kamba.....View attachment 2786619
Kazi iendelee
Ondoeni akili za kushikiwa dola inahusikaje hapo!?,Kuna kitu hapo kinakuwa imported!?,chuma,cement,vifusi,maji ,vibarua vyote inatumika Tshs. dola inatoka wapi hapo!?,waliojenga ni wachina nawajua wanalipana shilingi, dola zimetokea wapi??,wakati mwingine mfikirie kabla ya ku comment. Hakuna kilichokuwa imported hapo. Dola inahusishwa uki import material yoyote. Ni kama muuza mbao asingizie dola.Material ya ujenzi yamepanda sana kutokana na kupaa kwa dola! Wwe fikiria ukiwa na ka dola mia tu unapewa karibu laki tatu za kitanzania!!
UAFRIKA hasa UTANZANIA NI [emoji1]Nasema hivi [emoji116]
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Laana...UAFRIKA hasa UTANZANIA NI [emoji1]
Ova
Uzushi wa Machadema kumbeMbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.
--
Mamlaka zatolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo, kujua zaidi soma TARURA yaelezea kuhusu Daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6
View attachment 2786231