Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

View attachment 2786231
Wateule kazini.

Hawamuangushi mama kwenye issue ya urefu wa kamba.

Kapiga within a limitation🤣
 
Kumhusisha Rais na mambo ya upigaji wa watu ni ufala.

Rais hayuko huko site kusimamia Kila mradi,huko Kuna Takukuru, usalama wa Taifa,Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Wabunge na Watu wengine kwenye administration kama Ras.

Kama ni kweli Hilo Daraja Lina hiyo thamani wahusika hapo washughulikiwe kuanzia taasisi iliyosimamia huo ujenzi kama ni Tarura au TanRoads Kwa sababu katika Hali ya kawaida hakuna Daraja la Bilioni 17 hapo.

Labda waeleze activities zipi hasa zilizopelekea gharama kuwa kubwa hivyo tujirodhishe.
 
Mpigaji mwenza kwenye ubora wako
Sijawahi sapoti mambo ya kipuuzi,ukiona nasapoti jambo ujue liko vizuri.

Inatakiwa vyombo vya habari waripoti Ili wahusika watoe maelezo,iliishia jf hakuna ambae atahangaika manaa hata kule kwenye account ya Jerry ameondoa hii taarifa.
 
Kumhusisha Rais na mambo ya upigaji wa watu ni ufala.

Rais hayuko huko site kusimamia Kila mradi,huko Kuna Takukuru, usalama wa Taifa,Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Wabunge na Watu wengine kwenye administration kama Ras.

Kama ni kweli Hilo Daraja Lina hiyo thamani wahusika hapo washughulikiwe kuanzia taasisi iliyosimamia huo ujenzi kama ni Tarura au TanRoads Kwa sababu katika Hali ya kawaida hakuna Daraja la Bilioni 17 hapo.

Labda waeleze activities zipi hasa zilizopelekea gharama kuwa kubwa hivyo tujirodhishe.
Endelea na mapambio ya sauti ya kwanza🤣🤣🤣mpaka mseme
 
Milioni 17 unayosema nakataa ni ndogo, ila pia kamwe haiwezi fika bil 17!.
Ilitakiwa tuwe na sheria KALI za kushughulika na wahuni kama hawa wanaotupiga mchana kweupee kana kwamba Watz wote ni mafala!!.
Piga shaba kama mchina.
 
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.

Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.

Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.

View attachment 2786231
Screenshot_20231019-130123.png

Kazi iendelee
 
Tupe maana ya kauli kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake......

Jambo la pili, unatetea ujinga mno
Kwani wewe huna ukomo wa mambo Yako? Ukiwa una salary unataka ule Kwa ukomo wa salary ya nani Sasa.

Kwanza sijawahi ona shida ya hiyo Kauli ila nyie ndio mnataka ifanane na vile mnavyotaka.

Mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake maana yake nini?
 
Huenda aliyetoa taarifa ametoa nusu nusu.

Huenda hiyo daraja linahusisha na ujenzi wa kilomita kadhaa za lami ama za changarawe.

Lakini tuliopo kwenye field ya Ujenzi, mnaweza kukubaliana nami kuwa gharama kutengeza hilo daraja lenye span ya mita chini ya 12 kama linavyonekana hapo kwenye Picha haiwezi kuzidi Bilioni 2.85 tena hapo kwa kuangalia gharama za sasa za Nondo na Cement zilozopanda.

Anyways kila la kheri kwa Mbunge
 
Milioni 17 unayosema nakataa ni ndogo, ila pia kamwe haiwezi fika bil 17!.
Ilitakiwa tuwe na sheria KALI za kushughulika na wahuni kama hawa wanaotupiga mchana kweupee kana kwamba Watz wote ni mafala!!.
Wahuni wanafugwa na baba yao CCM wewe utawaambia nini.
Hii ndiyo awamu ya upigaji mkuu alisharuhusu kila mtu ale usawa wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom