johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jumbo la ukonga hawanaga Msimamo tangu liasisiwe enzi za Akina Ditopile na RupiaKama Jerry! Jerry ana dharau sijawahi kuona aisee. Ni kama sisi wana Ukonga ni wafanyakazi wake ametuajiri sio sisi wapigakura. 2025 sio mbali tuombe uhai
Yaani walimchagua Mwita Waitara mara mbili katika msimu mmoja