Kama Jerry! Jerry ana dharau sijawahi kuona aisee. Ni kama sisi wana Ukonga ni wafanyakazi wake ametuajiri sio sisi wapigakura. 2025 sio mbali tuombe uhai

Kilio cha samaki,came 2025 mtanfanya nini Mbunge huyu?,huyu MP alipewa ubunge na ccm chini ya chairman wao!,SIO ninyi wapiga kura wa Ukonga, tuache kulalama ni push back tu ndio inatakiwa