Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

Joined
May 2, 2025
Posts
29
Reaction score
22
Habari ndugu wanajamii,
Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu!

📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila malipo kabisa! Hii ni sehemu ya kampeni yetu ya kuwashukuru kwa kutuamini na kuchagua huduma zetu mara kwa mara.
Kupitia huduma hii, tunakagua gari lako kwa undani – kuanzia engine, brake system, battery, air filter, hadi maeneo mengine muhimu yanayohusiana na usalama na ufanisi wa gari. Tunataka kuhakikisha kuwa gari lako halina matatizo yanayoweza kuzalisha gharama kubwa siku za usoni.

Ofa hii ni maalum kwa wale tu waliowahi kupata huduma kwetu hapo awali – lakini hata kama ni mara yako ya kwanza, bado unakaribishwa na utapata huduma zenye punguzo na ubora wa hali ya juu.
Tunapatikana katika matawi yetu:
📍 Dar es Salaam – Makumbusho
📍 Kahama
📍 Mwanza
📍 Arusha
📍 Dodoma

Kwa maelezo zaidi au kupanga muda wa kufika, tupigie kupitia: 0715 666 656
Tunakuhakikishia ukarimu, uaminifu, na huduma zenye viwango vya kitaalamu. Jerry Spare Parts and Services – tunajali gari lako kama unavyolijali mwenyewe!
 
Nahitaji kujua bei ya spea ya exhaust pipe ( bomba la moshi) la harrier old model 5s engine
 
Back
Top Bottom