Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

Uzi mkali sana kuliko ule wa ubwela fc hii ndio maana ya timu kubwa kutoka kusini mwa jangwa la sahara juzi Kuna muimba taarabu alisema Sheria ngowi kaibiwa wabunifu sasa aje hapa yupo wapi huyo sisi ndio Yanga SC timu penda na kesho ushindi lazima comasava Yanga SC day πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’š
 
Hizo nyota tatu wameweka kwa kipi hasa? Au ni kuamua tu unabandika nyota bila hata mafanikio ya kimataifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…