Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,199
- 1,652
Anaitwa MwanabureYule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol oven
Anaitwa MwanabureYule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol oven
Chakula kitamu maudambwi dambwi je??Mi natamani nifungue migahawa kama shishi vile, coz napenda kupika
Aiseeeee....Chakula kitamu maudambwi dambwi je??
Maan kuna kupenda kupika na kupika chakula kitamu ni jambo lingine.
Kuna Careen wa Team MoneyHabari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer.
Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara za bar na wamezimudu kweli kweli
Hongera kwao na ni vizuri watoe darasa kwa wadada wenzao wanaopenda biashara za vinywaji lakini hawazimudu. Vi glocery mitaani vya wadada vinafilisika daily.
Wadada wa kitambaa cheupe na liquid wanatumia mbinu gani kutoboa?
Wote ni wadogo kiumri ila balaa za bar zao ni kubwa sana kwenye miji tofauti.
🤣🤣🤣🤣🤣Wadada wa vigrocery hawafiki mbali sabb wanakuwa kama wamejiegesha tu
Kigrocery kina bia 5 kuna kitu hapo
Kwanini ?Washirikina
Iko wapi hiyoKuna Careen wa Team Money
Mambo ya mjiniRIP Mzee chifupa.
Dunia kuna siri sana.
Alafu kuna watu hawaamini
KabisaaaWash Wash hizo Bar maarufu town majority ni money laundering scheme
Acha tuuuuMambo ya mjini
Tueleze zaidi kwa undaniWash Wash hizo Bar maarufu town majority ni money laundering scheme
Bar ni kama Kilimo ni ngumu sana Ku quantify Collection yakeTueleze zaidi kwa undani
Royal Oven hayuko peke yake. Kwanza ile kampuni inaitwa ROYAL TRINITY, Royal Oven ni brand yao tu. Nawajua wote 3 na walianzia Mwanza.Royal Oven ndio noma sana yule dada
mawazo ya kimaskini na wivu, na wewe si ulogeNa ni washirikina haswa, mmoja ana masharti ya kutovaa Pichu na ndio maana huwa akienda kwenye bar yake Kuna shazi linaongezeka kutokana na harufu dawa ya K
Aisee... Mjini pagumuWash Wash hizo Bar maarufu town majority ni money laundering scheme
Naskia Royal Oven haina usajili BrelaIle ni kampuni inaitwa ROYAL TRINITY na wapo mtu 3. Yule dada na wanaume wawili. Royal Oven ni brand name yao tu.
Ingia BRELA ukikuta haijasajiliwa pita nayo😀😀😀😀 na hawana cha kukufanya. Na unawashtaki kabisa kwa kutumia Business name yako.Naskia Royal Oven haina usajili Brela