Jesca Kikumbi (Kitambaa Cheupe Bar) na Lilian Gumbo (Liquid Bar), wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

Jesca Kikumbi (Kitambaa Cheupe Bar) na Lilian Gumbo (Liquid Bar), wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

Wanawake wengi wanatakatisha pes za midoni flani yenye mizizi kwenye vitengo myeti na hata wateja wao bado ni vigogo kiufupi usije jalibu kuiga kwa kuweka pesa na ufanye kama wao utapotea na kulia
 
Yes.. yupo vizuri sana. Nimewahi muona Mwanza kwenye ile Branch yake pale mjini kati Karibu na EQUITY BANK kuacha ile ya Rock City Mall na ile ndogo ya Nyegezi Kona.
Safari ni ndefu sana maisha ni safari ndefu .....Royal Oven walianza 2 kama sikosei iliyokea nilipita pale kama miezi 8 hivi chasp....bwana Kiwali na Shayo .....baadae wskamleta Bibie Mwana....kufungua branches mikoani....2009 huko nadhani walianza....tupambane maisha safari ndefu...
 
Back
Top Bottom