Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

ningekuwa Mwigulu ningeitisha Mkutano na wanahabari halafu nikanusha habari ile kwa kusema nilinukuliwa vibaya .

Ile ni aibu ya kujitakia
... Hansard haijawahi mnukuu mtu vibaya japo inaweza kuchezewa na wanasiasa uchwara.
 
PhD, na pia alichukua form ya uraisi,

Msifanye kosa tena mwez wa 10 kwenye uchaguzi mkuu,

Stay home Corona inaua or dance with me
 
Na hawa ndio wasomi wanaotegemewa na taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…