Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

Wanapenda mambo ya gizani hawa jamaa zetu.Hawataki uwazi,kila kitu siri hadi ugonjwa hatari ambao dunia yote inatakiwa kushikamana ili kuutokomeza!Hawa ndiyo kila siku wanataka kuwa viongozi?
Aibu hii ni Watanzania pekee ndiyo wanaweza kuvumilia.Kwa watu wa mataifa mengine ingepigwa hata kura ya kutokuwa na imani dhidi ya serikali.Ila kwa waTanzania mhh?
 
Mungu akiamua kumshusha mtu anayejikweza ni dakika chache!! Karma inaanza kumtafuna polepole.ninauhakika km wore mliomt3ndea vibaya TL hajaomba ladhii kwa WaTz mtajuta mno
 
Bi Jesca sijiui ana maana gani kwani nilivyomuelewa mbunge ni kwamba yale yalikuwa mawazo yake binafsi.
Right or wrong bado mheshimiwa ana haki ya kutoa mawazo yake na inawezekana alikuwa na nia njema kabisa ili kuondoa taharuki. Sasa hili suala la wanyiramba limetoka wapi??? au ndiyo tusema hiyo ilikuwa sehemu ya 2020???
 
Mambo ya uhuru wa maoni hahaha chadema hawatammbui


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom