Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Covid 19 katika KUJIPENDEKEZA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Covid 19 katika KUJIPENDEKEZA
😍💪👊👍Ms. Jesca Kishoa, Mbunge
Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha mikopo kwa mataifa yanayoendelea kiuchumi. Hadi Juni 2021, nchi za EAC zimefaidika na mikopo hiyo; Rwanda $111.06 ml, Uganda $1 bl, Kenya $739 Ml.
Mh. Rais SSH anaichora ramani ya Tanzania tena kwenye uso wa dunia kwa uwezo wake kidiplomasia, sasa TUMEELEWEKA. Majadiliano na Mkurgenzi wa IMF Bi. Kristalina Georgieva, yamezaa matunda mkopo wa $571 million ili kujikwamua na madhara ya UVIKO.
Leo nikiwa katika uzinduzi wa kampeni ya maendeleo ya taifa ya miezi 9 ijayo, Nimesikiliza hotuba ya Rais, mwelekeo tunaouchukua KITAIFA, mpango, mgawanyo na mategemeo ya serikali kwa kiasi hicho (Tsh. 1.3 Trillion), imegusa mambo MUHIMU kwa msisitizo, INFORMATIVE and DIRECTIVE speech ever!
i. Allocation : Serikali ilivyoainisha vipaumbele, kugawa na kuelekeza fedha hiyo, imejikita kwenye VISABABISHI vya tatizo husika, vitendea kazi na miundombinu ya AFYA, ELIMU, na maji. Hii ni akili kubwa.
ii.Usimamizi wa fedha : kwa kuwa ni mpango wa miezi 9 tu, Rais amesisitiza zaidi na kuonya wanaofikiria kufuja fedha.
iii. AMANI :Jinsi Mh. Rais anavyotilia msisitizo swala la amani, Tanzania kuaminiwa na SADC kuongoza masuala ya amani ni chachu kwa maendeleo.
NINASHAURI👇🏽;
1 . Mh Rais, viatu vya Hayati JPM vinakutosha, sio vikubwa. Mafanikio uliyokwishayafikia kwa miezi 6 tu, iweje kwa kasi hiyo miaka 5 ijayo!.UNAWEZA !
2 . *Usimamizi : Miradi inakwenda kwa pamoja, ni vema VYOMBO vya usimamizi visiwe vingi zaidi, serikali ibane matumizi na mianya ya upigaji tupunguze kamati, POSHO, vikao nk, Ikiwezekana kiwepo CHOMBO kimoja tu. Watumishi waelewe nia njema ya Rais.
3. Masharti nafuu : fedha hizi sio GRANTS japo mi masharti nafuu, tulete unafuu kwa wananchi kwa kubana mianya ya upotevu wa fedha, na RUSHWA.
4 .AMANI ; tuendelee na kuhakikisha kuwa Tanzania ni salama muda wote.
#VisitTanzania2021
View attachment 1970453
View attachment 1970454
Mh.Kishoa ameongea ukweli.....Kujipendekeza tu...
Mwenye kuvivaa hivyo viatu, kakiri kuwa kwake ni size kubwa...
Haya umeshatukana jipigie makofi....Mbona kama changu wa Mrina Bar Arusha[emoji846]
Demu mzuri halafu anatema madini. Yaani mpaka raha!Yaani mpk anachefua!
Kabla ya kujikoroga kwani alikuwaje?Mkorogo umemkubali mkuu
Ataachaje wakati mume ni RC! Hawezi tena kuwa na moral authority ya kuwa mpinzani, hata mwelekeo wa andiko lake unamshuhudia. Hata hivyo ameongea hoja. Mimi naamini kuwa viatu vya magufuli si vya samia, mama atatendea haki taifa hili kwa size ya kiatu chake na duniani itashangaa, awe tu makini juu ya ushauri wa wasaidizi wake ambao hauliunganishi taifa.Kishoka kachukua kadi ya maccm? Tangu lini? [emoji15]
Ataachaje wakati mume ni RC! Hawezi tena kuwa na moral authority ya kuwa mpinzani, hata mwelekeo wa andiko lake unamshuhudia. Hata hivyo ameongea hoja. Mimi naamini kuwa viatu vya magufuli si vya samia, mama atatendea haki taifa hili kwa size ya kiatu chake na duniani itashangaa, awe tu makini juu ya ushauri wa wasaidizi wake ambao hauliunganishi taifa.