Jesca Kishoa: Viatu vya Magufuli vinamtosha Rais Samia

😍💪👊👍
 
Kujipendekeza tu...

Mwenye kuvivaa hivyo viatu, kakiri kuwa kwake ni size kubwa...
Mh.Kishoa ameongea ukweli.....

Mh.SSH anaupiga mwingi mnoo.....

Mathalani yuko vyema KIUTENDAJI NA "ADMINISTRATIVE".......
 
Mh. Rais kama hawatamhalibia ni bonge la kiongozi na ningemshauri aachane na siasa za kuchukiana hasa upande wa wapinzani na amwache Mbowe, huyo ataweka historia ktk maendeleo ya Taifa hili, ktk kipindi cha zaidi miaka 20 sijawahi ipigia Kura ccm lakn Mungu akipenda nitampigia mama SSH
 
Kishoka kachukua kadi ya maccm? Tangu lini? [emoji15]
Ataachaje wakati mume ni RC! Hawezi tena kuwa na moral authority ya kuwa mpinzani, hata mwelekeo wa andiko lake unamshuhudia. Hata hivyo ameongea hoja. Mimi naamini kuwa viatu vya magufuli si vya samia, mama atatendea haki taifa hili kwa size ya kiatu chake na duniani itashangaa, awe tu makini juu ya ushauri wa wasaidizi wake ambao hauliunganishi taifa.
 
Udikteta na udhalimu KAMWE hauwezi kuleta haki popote pale.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…