ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nichukie nini? Simkubali huyo mtu wenu mnaemkumbuka.Tulia wewe chakubanga
Kunywa sumu kama umechukia
Ngoja tulambe asali sisi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yule jamaa alikuwa katili sana. Aliwanyanyasa sana wale watoto kisaikolojia. Shame on him.Hata Mimi mdogo wangu alikuwepo, Mwendazake alikuwa mshenzi sana
Harafu?Huyu si ndio alipata zero harafu akaonekana Udom? π€£π€£π€£π€£
Saizi wanamsogeza kwenye ulaji soon mtashika ni Mbunge huku watu wa huko wanakenua tuu ππ
Ndiyo akili zako zilivo fupi kama mkia wa mbuziAaahh weee, ningekuwa mimi yeye niparare hivo na hela ninazo? Mimi kipaumbele cha kwanza ni kupendeza kichwani.
Wale walikuwa vilaza. Hakuna special diploma. Ndo maana kumbe wengine mna chuki. Mimi katika mambo ambayo nlimuunga mkono ni hili. Wale vilaza hawakupaswa kuwa pale. Sisi miaka yetu chuo kilikuwa kinachukua watu wenye akili.Nani huyo? Magufuli alifukuza Watoto Wetu Udom wale special Diplomakwa madai ni vilaza wakati Watoto wake walipa 0.
Zambi itamtafuna huko aliko.
Naye alikuwa kilaza???nina mdogo wangu wa damu alikuwa hapo aisee vijana walipewa masaa 24 wasionekane hapo! Kama huna nauli, unatokea mkoa wa mbali utajijua mwenyewe, magari ya washawasha yakawa yanarandaranda. Dogo alifika tabora usiku wa manane
Hakufanikiwa,haya umepata nini pumbavuHivi huyu alifanikiwa kumaliza chuo pale UDOM?
Ni mkurugenz huko morogoroNi vizuri, japo jesca anasubiri uteuzi kabla sa100 hajamalizia kipindi hiki.
Ndiyo yeye ,haya umepata nini?Huyu si ndio alipata zero harafu akaonekana Udom? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saizi wanamsogeza kwenye ulaji soon mtashika ni Mbunge huku watu wa huko wanakenua tuu [emoji16][emoji16]
Jesca saaaafiiiiiiiiiiJesca hoyeeeee....
Labda ulambe makishaboNichukie nini? Simkubali huyo mtu wenu mnaemkumbuka.
Kila mtu analamba asali mahala pake
Mboni nasikiaga eti alipataga mchongo wa ajira kitengo tangu kipindi mshua wake hajachomoka ?Huyu si ndio alipata zero harafu akaonekana Udom? π€£π€£π€£π€£
Saizi wanamsogeza kwenye ulaji soon mtashika ni Mbunge huku watu wa huko wanakenua tuu ππ
Kila mtu analamba asali mahala pake,Mimi sitegemei kujipendekeza Kwa Wanasiasa Wala sijawahi kuwa na mishe za KisiasaLabda ulambe makishabo
Huwez kulamba asali ukapiga kelele hivi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waulizwe wanaosombwa na kumpigia makofi
Lakini alipata zero π€£π€£Harafu?
mtashika?
wewe dogo hata kidato cha nne sijui kama ulimaliza. Unamcheka aliyepata zero chuo. Wewe kiswahili tu kinakushinda.
He jmni mumkome mtoto wa watu, ushalobalo sio hobii yake, huyu yupo kama babake kazi kaziπππhaya bhana.
Jiwe alicheza kama Pele.Baba yake alitoa hizo shahada aise, she was awarded master degree