Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Huyu si ndio alipata zero harafu akaonekana Udom? 🤣🤣🤣🤣

Saizi wanamsogeza kwenye ulaji soon mtashika ni Mbunge huku watu wa huko wanakenua tuu 😁😁
Harafu?
mtashika?

wewe dogo hata kidato cha nne sijui kama ulimaliza. Unamcheka aliyepata zero chuo. Wewe kiswahili tu kinakushinda.
 
Nani huyo? Magufuli alifukuza Watoto Wetu Udom wale special Diplomakwa madai ni vilaza wakati Watoto wake walipa 0.

Zambi itamtafuna huko aliko.
Wale walikuwa vilaza. Hakuna special diploma. Ndo maana kumbe wengine mna chuki. Mimi katika mambo ambayo nlimuunga mkono ni hili. Wale vilaza hawakupaswa kuwa pale. Sisi miaka yetu chuo kilikuwa kinachukua watu wenye akili.
 
nina mdogo wangu wa damu alikuwa hapo aisee vijana walipewa masaa 24 wasionekane hapo! Kama huna nauli, unatokea mkoa wa mbali utajijua mwenyewe, magari ya washawasha yakawa yanarandaranda. Dogo alifika tabora usiku wa manane
Naye alikuwa kilaza???
 
Back
Top Bottom