Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Wale walikuwa vilaza. Hakuna special diploma. Ndo maana kumbe wengine mna chuki. Mimi katika mambo ambayo nlimuunga mkono ni hili. Wale vilaza hawakupaswa kuwa pale. Sisi miaka yetu chuo kilikuwa kinachukua watu wenye akili.
Wewe mpumbavu,baba Yako mwenyewe huyo ana kashfa ya PhD fake hapo hatujafukua matokeo yake ya Sekondari.

Hawakuwa vilaza bali Vijana waliofanya vizuri masoko ya sayansi na hesabu form 4 wakapelwkwa specydiploma Ili kuziba gap ya walimu wa Sayansi.

Ila yule aliyekuwa hajui kutafuta pesa akona ndio njia ya kupata pesa za fasta Kwa kuwatoa pale na kuwapelekea Vyuo vya ualimu kawaida
 
Wale walikuwa vilaza. Hakuna special diploma. Ndo maana kumbe wengine mna chuki. Mimi katika mambo ambayo nlimuunga mkono ni hili. Wale vilaza hawakupaswa kuwa pale. Sisi miaka yetu chuo kilikuwa kinachukua watu wenye akili
 
Naona kama wanafosi kitu fulani...
Tunaona na Mama yake pia kachangia mifuko 500 ya cement kumalizia ujenzi wa kanisa..hii haijakaa sawa.
 
Mwisho nakumbuka Mzee wangu alikaa miaka 2 ndio kuja kupata pension sijui angekufa kabla ingekuwaje lakini humwambii kitu kuhusu Magufuli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wengine miyeyusho sana
 
Back
Top Bottom