PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge.

Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
 
Habari ndio hiyo kama hutaki nuna

Jesca Magufuli aka Bint Shujaa anazichanga vizuri sana karata Zake Siasani

Sabato njema 😁
 
Ukimuondoa John Paul II, akina John wengine madishi Yao yanahitaji kukazwa.
 
Habari ndio hiyo kama hutaki nuna

Jesca Magufuli aka Bint Shujaa anazichanga vizuri sana karata Zake Siasani

Sabato njema 😁
Wanaokupa pombe za offer halafu hawakuachii hela ya supu hawakutendei haki hata kidogo manaake unaamka na wenge la hatari kichwani adi unaonekana kama sakala.
 
Wampe angalau awe bize aingize tsh 1,2,3

Ova
 
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge.

Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
Nchi wanaitafuna wale wale. Majalala tuna teseka kodi na tozo twalipishwa. Alisikika roma akiimba hana huko studio za dr dre
 
Baba yake kaua sana raia wasio na hatia. Tuwe makini tusije ingia tena mkenge.
Tehe tehe tehe!

Sasa mkuu, si kila nafsi itaonja mema au mabaya?

Mbona nafsi isiyo na hatia unaihukumu? We kama nani eti

Na wewe tia nia mshindane mkuu
 
Tehe tehe tehe!

Sasa mkuu, si kila nafsi itaonja mema au mabaya?

Mbona nafsi isiyo na hatia unaihukumu? We kama nani eti

Na wewe tia nia mshindane mkuu
Baba yake kaua. Ni lazima tujiridhishe kuwa siyo mkatili kama baba yake.
 
Sisi ni wajinga sana.
Kujubali kuongozwa na watu wa koo fulani tu kwa kigezo cha kuwa wazazi wao walikuwa na cheo au uwezo fulani.
 
Baba yake kaua. Ni lazima tujiridhishe kuwa siyo mkatili kama baba yake.
Nitajie kiongozi mmoja tu asiyeuwa ingawa wauwaji tunawapiga vita,

Na wauwaji na wasiouwa hawana alama mkuu, hata wewe huna alama yoyote juu 6a hayo, huwenda hata wewe tukikuamini unaweza kutugeuka
 
Back
Top Bottom