Mkuu, kuwa kiongozi hasa mkuu wa nchi ni responsibility kubwa sana sana. Kumbuka mtu kama huyo anapewa nyenzo zote na uwezo wote na hata mahitaji yake binafsi. Si hilo tu, anaambiwa hata akistaafu ataendelea kutunzwa na kupewa nyenzo mpaka atakapofariki. Mtu wa aiana hii ni lazima awe makini mno na hawezi kufananishwa na watu wengine. Mimi nikiwa muuaji, nawezwa kuhukumiwa muda wowote lakini rais wa nchi kama Tanzania anaweza kutumia cheo chake kuua na asifanywe lolote. Mkosoaji wa serikali hauawi.Nitajie kiongozi mmoja tu asiyeuwa ingawa wauwaji tunawapiga vita,
Na wauwaji na wasiouwa hawana alama mkuu, hata wewe huna alama yoyote juu 6a hayo, huwenda hata wewe tukikuamini unaweza kutugeuka
Hawezi kukosaUnafikiri atakosa ???
Wanagombea na kuna mchujo baada ya hapoViti maalum.unagombea au unateuliwa tu huko chamani
Ova
Wanawake huwa wana huruma kulinganisha na wanaume.Baba yake kaua. Ni lazima tujiridhishe kuwa siyo mkatili kama baba yake.
ameshapata tayari, mie naona tuwape na mamayake tu, tuwafute machozi, kwahili daraja la busisi hapana kabisaHuyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge.
Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
Ni kweli. Samia ni mwanaume ndiyo maana anaua hata watu wanaomkosoa, waliokumbana na changamoto katika utoto wao kama Mdude. I mean huyo aliyemuua Mdude na huyo aliyetoa ruhusu ni watu wenye ugonjwa wa akili. Hata nyoka ni afandali kwa sababu nyoka huwa wanaua ili kujilinda ama kupata chakula, lakini hawa wameua mtu ambaye hana madhara yoyote kwa uongozi wala jamii. Hivi ukosoaji wa Mdude ulikuwa na impact gani kwa serikali? Hata ma-dikteta waliokubuhu huua wapinzani wenye kuhatarisha uongozi wao lakini siyo watu kama Mdude.Wanawake huwa wana huruma kulinganisha na wanaume.