The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Unamzungumzia mtu aliyrpata dv 0 tena kwenye mtihani wenye multiple choices.Mjinga Sana huyu kilaza Kama baba yake
Ndo hao Leo wanataka kutuongozaUnamzungumzia mtu aliyrpata dv 0 tena kwenye mtihani wenye multiple choices
Baba yake mwenyewe alikuwa mwiziShe is very composed. Namshangaa kwa nini baba yake hakumpa nafasi ya uongozi mapema. Unaweza kuwa na uwezo lakini Kiongozi akawa anaogopa nepotism ndicho kilichomkumba huyu Binti alistahili kuwa bungeni siku nyingi
Yaani Mr Tanzania anatakiwa awe Angalau amemaliza form fourNdo hao Leo wanataka kutuongoza
Wewe na yeye nani anamzidi mwenziwe?She is very composed. Namshangaa kwa nini baba yake hakumpa nafasi ya uongozi mapema. Unaweza kuwa na uwezo lakini Kiongozi akawa anaogopa nepotism ndicho kilichomkumba huyu Binti alistahili kuwa bungeni siku nyingi
Hawa ni walewale KINA RIZIWANI KIKWETEHakuna kitu hapo tapeli tu. Very stupid
Ananizidi mimi na wewe kwa mbali sanaWewe na yeye nani anamzidi mwenziwe?
Alimuingiza kwenye kile kitengo hapo anaongea akiwa mtumishi wa kitengoShe is very composed. Namshangaa kwa nini baba yake hakumpa nafasi ya uongozi mapema. Unaweza kuwa na uwezo lakini Kiongozi akawa anaogopa nepotism ndicho kilichomkumba huyu Binti alistahili kuwa bungeni siku nyingi
una uhakika?Alimuingiza kwenye kile kitengo hapo anaongea akiwa mtumishi wa kitengo
Itungwe sheria kali watoto wote wa viongozi wastaafu wa serikali, marufuku kugombea nafasi yoyote ya uongozi hadi ipite miaka 25.Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara.
Jesca ni msomi mwenye Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Siasa na Utawala.
Amesema ana dhamira ya kweli ya kuwatetea vijana na kuwa sauti yao kupitia maono na mwelekeo alionao.
Mkutano huo Maalum wa UVCCM unafanyika leo, Agosti 1, 2025, jijini Dodoma kwa lengo la kuwachagua Wabunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia kundi hilo
View attachment 3427140