Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Wivu huo mkuu,kupata four. O level haina maana mtu hana akili,vipi wale darasa la 7 waliolo bungeni na wanatunga sheria😁Ndo maana alifanya interview na Millardayo ili asikike .
Uwezo mdogo kuanzia kichwani mpaka kujieleza MTU kapata four ya mwisho ya 37 then anataka ubunge. Ili akatunge Sheria.
Wivu tu 😂Mjinga Sana huyu kilaza Kama baba yake
Wivu tu 😂Itungwe sheria kali watoto wote wa viongozi wastaafu wa serikali, marufuku kugombea nafasi yoyote ya uongozi hadi ipite miaka 25.
NAshangaa wengine wanamtukanaShe is very composed. Namshangaa kwa nini baba yake hakumpa nafasi ya uongozi mapema. Unaweza kuwa na uwezo lakini Kiongozi akawa anaogopa nepotism ndicho kilichomkumba huyu Binti alistahili kuwa bungeni siku nyingi
Sio wivu.Wivu tu 😂
Dah kafanana na Baba yake hadi kuchekaMgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara.
Jesca ni msomi mwenye Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Siasa na Utawala.
Amesema ana dhamira ya kweli ya kuwatetea vijana na kuwa sauti yao kupitia maono na mwelekeo alionao.
Mkutano huo Maalum wa UVCCM unafanyika leo, Agosti 1, 2025, jijini Dodoma kwa lengo la kuwachagua Wabunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia kundi hilo
View attachment 3427140
Kwahyo viongozi wakatunge sheria ya kuwabania watoto wao wasiwe viongozi..!?? 😅😅Itungwe sheria kali watoto wote wa viongozi wastaafu wa serikali, marufuku kugombea nafasi yoyote ya uongozi hadi ipite miaka 25.
Mbona wanasema siasa sio elimu ya darasaniNdo maana alifanya interview na Millardayo ili asikike .
Uwezo mdogo kuanzia kichwani mpaka kujieleza MTU kapata four ya mwisho ya 37 then anataka ubunge. Ili akatunge Sheria.
Nchi hii sasa imegeuka kuwa ya kifalme. Kila mtoto wa mtawala naye anatamani kutawala. Nchi ya kipuuzi sana hii.Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara.
Jesca ni msomi mwenye Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Siasa na Utawala.
Amesema ana dhamira ya kweli ya kuwatetea vijana na kuwa sauti yao kupitia maono na mwelekeo alionao.
Mkutano huo Maalum wa UVCCM unafanyika leo, Agosti 1, 2025, jijini Dodoma kwa lengo la kuwachagua Wabunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia kundi hilo
View attachment 3427140
Awe bungeni kwa lipi mkuu? Huyu naye ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine. Unajua hayo maneno machache aliyosema hapo ametumia muda gani kuyakariri?She is very composed. Namshangaa kwa nini baba yake hakumpa nafasi ya uongozi mapema. Unaweza kuwa na uwezo lakini Kiongozi akawa anaogopa nepotism ndicho kilichomkumba huyu Binti alistahili kuwa bungeni siku nyingi
Upendo jina lake lilibahatika kurudi.Haya vijana sauti hiyo mnaletewa
Hivi peneza yuko wapi hajalaa shavu
Ova
Mjinga Sana huyu kilaza Kama baba yake
Kashinda kwenye kura za maoni kawa wa kwanzaUpendo jina lake lilibahatika kurudi.
Sijajua Sasa kwa wajumbe mambo yameendaje.
Kashinda kwenye kura za maoni kawa wa kwanza
Upo uwezekano huo mkuu, kinachohitajika hapo ni political will. In fact wakiweka zuio hilo wanajiondolea maadui wa familia zao wasio wa lazima.Kwahyo viongozi wakatunge sheria ya kuwabania watoto wao wasiwe viongozi..!?? 😅😅
Hata ungekuwa ndio kiongozi ungetunga sheria hio..!??