Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

Hawana lolote hao na sera zao za ubaguzi wa kimbari. Watapigwa na kuangamizwa. Wanafikiri wao waliumbwa kutawala mbari zingine. Watutsi na dharau zao kwa wabantu lazima wapigwe na washindwe.
Watutsi ni akili kubwa ndo mana wanawatawaka wahutu aka wabantu
 
Baadhi ya mataifa ya Afrika inatakiwa yawaite wazungu (wakoloni) ili waendelee kutawaliwa. Kwa maana wameshindwa kujitawala.
 
Kuna mmoja hapo chini
Seriously he's wounded.
The peace of that County is into the Western Counties and Congolese themselves.
God the Almighty bless them.
Have them peace and Harmony.
 
M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.🤣🤣
Please try to revisit you stories herein -wakati wote ni horror stories tu na kusifia waasi - hakuna popote unapoleta story zenye mizania - ni lawama tu zisizo kuwa na kichwa wala miguu - wakati mwingine nakuchukulia ni kama ni a paid mole uliye pandikizwa humu kwa lengo maalumu - sijawahi kukuona unashiriki kwenye topic nyingine zaidi ya kusifia so called M23 leadership quality na ujinga mwingine - yaani wewe masaa yote unawasifia sana waleta vurugu nchini Congo DRC, one more thing hizi latest photos na video clip nyingine za maiigizo tu hazina ukweli wowote, wewe hizi picha huwa unazipata pataje in advance - one may ask?? husitufanye wajinga.
 
Ka kwambia mi mu munyaru nani?
Tell you what Mr, people who can believe you are Marines only eg take a closer look at your inept comments - what do they tell you? the truth of the matter is, they reveals volume about your true colour/background - need I say more?
 
Kuna mmoja hapo chini
Seriously he's wounded.
The peace of that County is into the Western Counties and Congolese themselves.
God the Almighty bless them.
Have them peace and Harmony.
Western wanahusikaje? Mbona hata kina Mugabe na Dos Santos wamepora rasilimali kuliko hata Kagame au mabeberu!!

Tatizo ni DRC hawajaungana hata wakiachiwa wajitawale kama Sudan kusini watakua ni kuchinjana tu hata kama mzungu hahusiki.

Kenya tu hapo Kuna wazungu? Ila Kila chaguzi ni zaidi ya uwanja wa vita.

Nadhani tuwe na Umoja kwanza hayo mengine yanarekebishika.
 
M23 ni mercenaries wa Kagame. DRC nao wakusanye madini wakawamwagie Wagner group ili waje wapambane na M23.
Au JWTZ iende kama kipindi kile cha awamu ya 4.Miezi miwili tu inatosha kuwashikisha adabu hao ngongoti wa Kagame
 
Au JWTZ iende kama kipindi kile cha awamu ya 4.Miezi miwili tu inatosha kuwashikisha adabu hao ngongoti wa Kagame
JWTZ kwenda kutahitajika vikao na mikutano, protocol kibao zisizo na sababu na kupoteza muda huku raia wa drc wakiendelea kuteseka. Kumbuka kuna majeshi ya monusco na ya eac yako huko na hakuna chochote kinachofanyika.

Lakini hao M23 na kagame wao wakisikia tu Wagner group wametua, wataanza kutaka mapatano haraka. mgogoro wa drc hauwezi kutatulika kisiasa tena.
 
JWTZ kwenda kutahitajika vikao na mikutano, protocol kibao zisizo na sababu na kupoteza muda huku raia wa drc wakiendelea kuteseka. Kumbuka kuna majeshi ya monusco na ya eac huko na hakuna chochote kinachofanyika.

Lakini hao M23 na kagame wao wakisikia tu Wagner group wametua, wataanza kutaka mapatano haraka. mgogoro wa drc hauwezi kutatulika kisiasa tena.
Hapa umeeleweka,nakubaliana na wewe kwa ufafanuzi huu.
 
Back
Top Bottom