Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Tatizo nyie mlio pro kagame kosa mnalo fanya ni kumpa sifa nyingi kagame zisio mstahiri "over rating" Kageme ni propaganda nyingine inao fanywa na vipenyo vya watusi walio sambaa mpaka Tanzania.

Domestic politics kagema amefail hamna stability ndani ya Rwanda zaidi ya kuua au kufunga wapinzani wake, la pili hao watusi unao sema hawana umoja kama unavo sema na hawaminiani kabisa, Rwanda imekalia "time bomb" siku itakapo lipuka 1994 genocide itarudia tena.

Kagema alicho nacho kuliko viongozi wengine ni kwamba anaweza akauua bila huruma ana roho ya kunchwa damu ya watu wake na majirani homicidal dictator ni mtu anae anzisha vita bila kuhesabu madhara yake, kwa mfano hi vita ya Congo ina mcost sanaa mpaka vikosi visio vya watusi vimeingilia kati kusaidia.

Suala la Burundi kutawaliwa na mtusi ni gumu hiyo vita haiwezi kuisha leo na warundi ni wapiganaji wazuri hata kuliko hao watsi wa Rwanda mpaka leo mpaka wa Rwanda na Burudi ulishwa fungwa na kagame ameshindwa kulitataua hilo.

Hakuna hoja ya msingi kwa Tanzania ķuingilia kati kwenye vita hi isio tuhusu, nikumpa kagame fursa ya kupenyeza watu wake ndani ya nchi, na kumpa umuhimi usio hitajika hao tulisha wazoa mwishowe watakuja Arusha kutatuliwa tatizo lao through dialogue
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Hiyo vita Tanzania tuchague kulinda AMANI pekee.

Tukienda front kuna uwezekano mkubwa tukaaibika.

Ukiona vita yoyote duniani waasi wameanza kuungwa mkono na raia HUWEZI KUSHINDA TENA.
 
Hivi
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Vita vina harufu Kali ya ukabila ndani yake
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Anachokitafuta Burundi Congo, ndicho anachokitafuta Rwanda Congo.
 
Hawezi kukimbia, kwa Sababu Burundi imeingia basi naamini Tanzania itaingia kupeleka wajenda, hata Zimbabwe itaingia.
Wa mbali hawana sababu ya kuingia direct......hapo zitapigwa proxy tu.....na akiingia burundi direct basi atafanya Rwanda na Uganda nao kuingia direct ndo maana jamaa wamesem kama wanataka vita ije tu.........kila upande wameshajipanga ila upepo upo kwa M23 zaidi
 
Bro. Tuombe kuwa raia wengi wasiiunge mkono M23.

Umeona video ya hamasa ya m23 wakiwa na raia?
Ikiwa kutakuwa na uungwaji mkono mkubwa wa raia hata Marekani hawrzi kushinda.

Raia watakuwa ni mgao ya m23
 
Wa mbali hawana sababu ya kuingia direct......hapo zitapigwa proxy tu.....na akiingia burundi direct basi atafanya Rwanda na Uganda nao kuingia direct ndo maana jamaa wamesem kama wanataka vita ije tu.........kila upande wameshajipanga ila upepo upo kwa M23 zaidi
Uganda Tangu juzi wamepeleka majeshi mipakani na Congo. Lakini nachojua hata uganda akiingia ilimradi Tz, SA, Malawi, Burundi na hata Zimbabwe wanasaport Serikali ya Congo, na hata jumuia ya kimataifa inawaomba Rwanda watoe majeshi yake Congo, basi amini Rwanda, Uganda hawatoboi.
 
Back
Top Bottom