Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Hiyo vita Tanzania tuchague kulinda AMANI pekee.

Tukienda front kuna uwezekano mkubwa tukaaibika.

Ukiona vita yoyote duniani waasi wameanza kuungwa mkono na raia HUWEZI KUSHINDA TENA.
Acha uoga wewe,Idd Amini alipochukua Kagera wale wahaya walishangilia kweli kweli
 
Kila mtu ashinde mechi zake mbona wewe unawasifia Alshababu na Hamas na magaidi wengine ambao wanasambaza Idiolojia za Waarabu lakini unashutumu yeyote ayayetaka Watutsi wa Kongo wapewe haki zao kitu ambacho hata Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alikiweka WAZI.

Je nimfuate Samia au Baba wa Taifa mimi namfuata Baba wa Taifa.
kama ni kupewa haki mbona mnaiba na madini??
Ni uporaji tu
 
Wewe na wenzio ndo Traitor wa africa!!
Watu wabaya sana nyie
Mimi ni PanAfricanist ninataka AFRICA MOJA WATU WAMOJA MUNGU IBARIKI AFRIKA.

Ni wakati wa kuondoa Colonial Boundaries hii mipaka ya wakoloni ndio chanzo cha migogoro.
 

30 January 2025​

Giteranyi: Mamlaka za Tanzania ziliharibu madaraja yanayoelekea Burundi kwa ajili ya Usalama​

Mamlaka ya Tanzania iliharibu madaraja yanayotenganisha Tanzania na Burundi siku ya Jumanne. Wakazi wa eneo hilo katika tarafa ya Giteranyi, mkoa wa Muyinga (kaskazini-mashariki mwa Burundi) wanazungumza kuhusu operesheni ambapo watu wenye silaha waliovalia sare za jeshi la Tanzania walishiriki.

HABARI SOS Médias Burundi

Madaraja ambayo yalibomolewa yanaelekea maeneo ya Kabogo na Shoza katika wilaya ya Giteranyi, kwanza.

“Kabla ya kuharibiwa kwa madaraja haya, tuliona mkusanyiko wa vikundi vidogo miongoni mwa watu tuliowaona, kulikuwa na wengi waliokuwa wamevalia sare za jeshi la Tanzania, wakiwa na bunduki,” Burundi iliiambia SOS Médias mkazi wa Kabogo hill. Kulingana naye, shughuli hiyo ilianza mwendo wa saa nane asubuhi.

Kwa upande huu, hakuna kizuizi cha asili kinachotumika kama mpaka kati ya Burundi na Tanzania.

“Hatukuarifiwa kuhusu ubomoaji huu kwa sababu hakuna mtu aliyeidhinishwa kwenda upande wa Tanzania,” alisema afisa mmoja wa eneo hilo aliyechaguliwa huko Shoza.

Utawala wa manispaa unasema umegundua kuwa operesheni hiyo ilichochewa na sababu za kiusalama.

“Mamlaka za Tanzania zinasema kwamba kuja na kuondoka kwa Warundi, hasa wakati wa usiku, kunawatia wasiwasi,” Florida Nduwayezu, msimamizi wa jumuiya ya Giteranyi.

Vyanzo vingine vya ndani vilifichua kuwa hatua hiyo ni matokeo ya ushirikiano fulani kati ya wahalifu wa Burundi na Tanzania.

Kwa mujibu wa vyanzo vilivyo karibu na mamlaka ya Tanzania, operesheni hiyo inapaswa kuendelea hadi maeneo ya Murama na Kobero, mtawalia katika tarafa za Muyinga na Butihinda

1738800615452.png
 
Hutu wanaicontrol burundi bila kuwabagua tutsi,ila hao tutsi ndio wanaamini hawawezi kutawaliwa na wahutu,watutsi ni wabaguzi mno
Wahutu pia ni wabaguzi .Refer Rwanda chini ya Hutus.Kasome 10 commandements of Hutu .Ni chuki juu ya chuki Kama unaelewa french soma hapa.
kangura6-10-commandements.jpg
 
Back
Top Bottom