imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo ACT Wazalendo ni tawi la M23 ngoja Zitto Kabwe atajibu.Tukiwa tunasema nyie waha sio raia wa Tanzania mnamind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ACT Wazalendo ni tawi la M23 ngoja Zitto Kabwe atajibu.Tukiwa tunasema nyie waha sio raia wa Tanzania mnamind
Unauliza majibu?Kwahiyo ACT Wazalendo ni tawi la M23 ngoja Zitto Kabwe atajibu.
Burundi anajua kabisa akiacha congo iwe kichaka cha m23 basi burundi ndo itakuwa Base kuu ya hichi kikundi cha kihuni m23 kwahiyo lazima watumie nguvu kuwafukuza mbali zaidi na mipaka yaoSource : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Kuna nchi zinajidhalilisha zenyewe tu...kama hao DRC li nchi likubwa watu kibao halafu anatolewa kamasi na wanamgambo.......mtu askari wa jeshi lake anamlipa sio juu ya $100 halafu wale mamluki wa romania anawalipa $5000 hapo lazima ujitakie mwenyewe kujizalilisha kwa kadamnasi.......hao Burundi walianza 1 na Rwanda ila angalia hizo nchi 2 zilivyo kwa sasaHivi kwanini mnawachukulia warundi poa tu?
Na Kagame anajua upande ule mrundi akiwa na nguvu basi wale jamaa wa fdlr watapata nguvu zaidi drc na watamletea shida Rwanda hapo lazima kinuke zaidi ya sasaBurundi anajua kabisa akiacha congo iwe kichaka cha m23 basi burundi ndo itakuwa Base kuu ya hichi kikundi cha kihuni m23 kwahiyo lazima watumie nguvu kuwafukuza mbali zaidi na mipaka yao
mkuu ww kichwa navokuaminia hujui hii!!Unajuaje kama ni Watutsi watupu?
Unawlewa cost ya 16B $ za rwanda wameipata kwa kuua watu milion 12Kuna nchi zinajidhalilisha zenyewe tu...kama hao DRC li nchi likubwa watu kibao halafu anatolewa kamasi na wanamgambo.......mtu askari wa jeshi lake anamlipa sio juu ya $100 halafu wale mamluki wa romania anawalipa $5000 hapo lazima ujitakie mwenyewe kujizalilisha kwa kadamnasi.......hao Burundi walianza 1 na Rwanda ila angalia hizo nchi 2 zilivyo kwa sasa
si kweli!Na nchi nyingi zinaogopa lawama ya kumtoa PK Rwana itakua kama Libya
Kwasababu Rwanda ya sasa Vitambulisho "indangamuntu' haviiandiki Kabila la Mtu bali vinaandika Nationality ambayo ni Mnyarwanda na wote wanaongea Kinyarwanda na wote wana utamaduni mmoja kama ni Inzoga wote wanapenda Inzoga na wote wanapenda Amata yaani Maziwa.mkuu ww kichwa navokuaminia hujui hii!!
Hata uongozi wa serikali ya rwanda huujui??
hujawai sikia hata Apartheid in rwanda??
Siyo kweli.Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Nakuunga mkono. M23 watalia na mwishowao ndio huuTulia uone kipigo cha maana kitakachotolewa kwa M23 na hao wahuni wengine.
Kuna research nyingi zitafute zimefanywa Reanda! ukabila upo umejaa hata humo twitter wanaitana mbwa (hutu) ni ww tu unaamini haya maigizo ya kagame! lakini kama unataka kujua ukweli utaupata ukiutafutaKwasababu Rwanda ya sasa Vitambulisho "indangamuntu' haviiandiki Kabila la Mtu bali vinaandika Nationality ambayo ni Mnyarwanda na wote wanaongea Kinyarwanda na wote wana utamaduni mmoja kama ni Inzoga wote wanapenda Inzoga na wote wanapenda Amata yaani Maziwa.
Swali langa wewe Mtanzania mwenzagu unaweza kuwatofautishaje kuwa yule ni hivi yule ni vile?!
Indangamuntu haina sehemu inayoandikwa UKABILA wa Mtu tofauti na ilivyokuwa Karangamuntu
View attachment 3222268
Karangamuntu ya zamani Rwanda ilikuwa inaandika hadi Kabila la mtu na ndio ilikuwa rahisi kwa Interahamwe na Jeshi la zamani la Rwanda kufanya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Jamii za Watutsi wa Rwanda.
Wasiwasi wangu nadhani hata Burundi Karangamuntu yao bado inaonyesha Ukabila wa mtu kitu ambachi ni HATARI kwakweli.
Hiyo ilikuja miaka mingi ya oprression!! ndio ilitengeneza ideology za ivo!!Tujikumbushe tena Idiolojia ya Hutu Power ya FLDR.
Hutu Power is an ethnic supremacist ideology that asserts the ethnic superiority of Hutu, often in the context of being superior to Tutsi and Twa, and therefore, they are entitled to dominate and murder these two groups and other minorities.
Hiyo Idiolojia ilitengenezwa na Theoneste Bagosora wakati anasisi Interahamwe na final solution.Hiyo ilikuja miaka mingi ya oprression!! ndio ilitengeneza ideology za ivo!!
Ipo had leo kutokana na wanayofanyiwa.
Nieleze zaidi wewe ulieelewaUnawlewa cost ya 16B $ za rwanda wameipata kwa kuua watu milion 12
Mkuu wa interharamwe alikua ni mtusi!Hiyo Idiolojia ilitengenezwa na Theoneste Bagosora wakati anasisi Interahamwe na final solution.
Na kuna habari pia zinasema hiyo Idiolojia iliasisiwa na Hayati George Kayibanda himself.
Sasa kama unatetea mauaji ya watu ili kupanda kiuchumi ! Nitakuelezea nn uelewe!Nieleze zaidi wewe ulieelewaView attachment 3222314
Kaka shetani likes this..........kwani hao wanajeshi wa Drc na washirika wao huko uwanja wa mapambano hawaui au wanakata mauno tu..........huu mwaka atajulikana huyo shetani na MunguSasa kama unatetea mauaji ya watu ili kupanda kiuchumi ! Nitakuelezea nn uelewe!
Wewe ni shetani na shetan huwa haelewi
Propaganda hapa imhotep huwa zinagonga mwamba 😁 nice try.Mkuu wa interharamwe alikua ni mtusi!
Mkuu uko nyuma ya muda😂