Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Vikwazo vitaleta aman DRC? Wapi kuliwekwa vikwazo vikaleta aman ?Kila mtu anatamani Drc amani irejee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikwazo vitaleta aman DRC? Wapi kuliwekwa vikwazo vikaleta aman ?Kila mtu anatamani Drc amani irejee...
Changes ipi Sasa kama sio Hy ?Yeah! Regime change ikitokea Kigali, Drc mashariki itapumua ila kutumia mabavu kufanikisha hilo ni balaa
1.) Biashara kati ya DRC na Tanzania ni kubwa sana, Billions of dollars annually, DRC ikianguka kwa WamaTusi na wakaweka kibaraka wao hapo, biashara yote itahamia Kenya kupitia Rwanda kama middle man…, tutakwisha kiuchumi.., hivho kibandari hapo Dar kitabaki pambo tu.., soko la 110mil. sio dogo…, exports za madini kama copper pia ni biashara kubwa kwa bandari..(Kama ni kweli)Tanzania itafaidika nini kutapanya pesa za walipa kodi huko Burundi??
Sio lazima dawa ya moto iwe moto....Changes ipi Sasa kama sio Hy ?
Hawa jamaa m23 siku tatu tu inatosha kuvuna dhahabu na madini mengine yaliyopo goma Kisha watapeleka Rwanda na Uganda, watapigwa watarudi nyuma ,wanajipqnga wakati mwingine kupata week ya kuvuna Mali goma .Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Weka uthibitisho usiotia shaka kuhusu hayo usemayo.Hakuna nchi yeyote ukanda huu anaeweza kukabilisna na Rwanda. Kwa SADC angalau Angola peke ake ndie mwenye afadhali kupiga beto na mnyarwanda. Nje ya SADc ni Ethiopia tu mwenye uwezo huo. Hao wengine ni kelele tu na mbwembwe na tambo za kitoto.
Hahahaha,kumbe Hy sebene mnalipendaSio lazima dawa ya moto iwe moto....
Kuna wakati ni maji
Rwanda ipo vizuri mno kwa sasa...Hamna kazi hapo.
Hakuna nchi yeyote ukanda huu anaeweza kukabilisna na Rwanda. Kwa SADC angalau Angola peke ake ndie mwenye afadhali kupiga beto na mnyarwanda. Nje ya SADc ni Ethiopia tu mwenye uwezo huo. Hao wengine ni kelele tu na mbwembwe na tambo za kitoto.
Burundi tayari yuko DRC kitambo kumsaidia Tshesekedi lakini wameishia kukamatwa mateka na m23.
Tatizo jingine ni kuwa 35% ya askari wa kirundi ni watusi ambao Wana mapenzi ya moyoni kwa watusi wenzao wa Rwanda. Kumbuka mgogoro huu kiini chake ni ukabira hivyo ni vigumu kwa watusi wa pande mbili kuuana.
mie kwetu zanzibar sheikh ayo mambo yenu ya mhutu sijui tusi tunayasikia tu..na kuwashangaa.unasahau kuwa wew ni mhutu , au unahis kuna kabila linaitwa wahutu
ila sisi na kenya twajua kila kitu anachosafirisha kwa meliRwanda ipo vizuri mno kwa sasa...
Suluhu ya kudumu ni diplomasia tu....Hahahaha,kumbe Hy sebene mnalipenda
OkSuluhu ya kudumu ni diplomasia tu....
hz akil ndo zilifanya tukawa koloni la UjerumaniTanzania ahangaike na vita isiyomuhusu, unless kama hao M23 wangekuwa wananyukana karibu sana na mpaka wetu kitu ambacho sio rahisi sababu ya uwepo wa ziwa...
Otherwise anakuwa involved kwenye majeshi ya kulinda amani ya AU au UN...
Toka miaka Hy diplomasia inafanyika lkn ni Yale YaleSuluhu ya kudumu ni diplomasia tu....
Sio lazima kutegemea bandari, fanyeni kilimo. Zambia, DRC, Uganda na nchi nyingine nyingi tu hazina bandari na maisha yanaendelea vizuri tu. Bandari yenyewe itakuwa mikononi kwa waarabu miaka 30 ijayo.1.) Biashara kati ya DRC na Tanzania ni kubwa sana, Billions of dollars annually, DRC ikianguka kwa WamaTusi na wakaweka kibaraka wao hapo, biashara yote itahamia Kenya kupitia Rwanda kama middle man…, tutakwisha kiuchumi.., hivho kibandari hapo Dar kitabaki pambo tu.., soko la 110mil. sio dogo…, exports za madini kama copper pia ni biashara kubwa kwa bandari..
2.) Adui mdogo ni nafuu kuliko adui mkubwa. Rwanda ni kaeneo kadogo, ni rahisi kumonitor, ila DRC ikaja kuwa puppet wa Rwanda na maagizo yote yawe yanatoka Rwanda, tutakuwa tumezungukwa na adui mkubwa sana
WE CAN’T RISK THIS!!!
Ikibidi waTz wote tuende front when necessary, kinyume chake tutaingia utumwani kwa Wamatusi bila kupenda..!
Unajua dhahabu inavyochimbwa? Unafikiri ni kufika tu na kuikota??Hawa jamaa m23 siku tatu tu inatosha kuvuna dhahabu na madini mengine yaliyopo goma Kisha watapeleka Rwanda na Uganda, watapigwa watarudi nyuma ,wanajipqnga wakati mwingine kupata week ya kuvuna Mali goma .
Trump hana muda na Africa, anahangaika kuipata Greenland, Panama na Canada na kuweka tariffs kama mwendawazimu tu.Rwanda bila kuwekewa shinikizo la kiuchumi na wakubwa hii vita ya kikanda itaibuka.
M23 hawachimbi wanachukua kilichochimbwaUnajua dhahabu inavyochimbwa? Unafikiri ni kufika tu na kuikota??