Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Kuna kitu very fundamental ambacho wengi humu wanashindwa kuelewa, wakielewa M23 sio Rwandese na ni wacongo halisi wanaopigania haki zao solution itapatikana kirahisi sana, na vita vitaishi na clip moja Nyerere ameeleza vizuri sana, mwenye nayo aiweke
 
Ngoja na Burundi zianze ethnic wars kwasababu Burundi ni Bomu linaloenda kupasuka Burundi pia kuna mgogoro uliopoa wa Hutu na Tutsi itakayoathirika ni Tanzania kwa sababu ya Maelfu ya Wakimbizi watavuka mpaka.

Mimi nawashauri Wanasiasa waache kuuchochea huu mgogoro tena nawaomba sana🙏🏼
Kwahiyo EAC uliokuwa unazungumzia kupigana na SADC ni ipi? Rwanda ndio EAC?
 
Tuache unafiki, Mmatusi hachangamaniki na binadamu mwingine yeyote hapa duniani.., they are too full of themselves, wabaki Rwanda kwa amani. Wasivamie nchi zingine.., kipindi kile waliitwa coakroaches, and rightly so, ona wanavyomiminika kwa ukorofi kwenye nchi ya watu, kama mende toka chooni, warudi chooni kwao!
Akili kama hizi ndio zilianzisha genocide na sasa Congolese, ukabila and ignorance ni sumu
 
Uganda Tangu juzi wamepeleka majeshi mipakani na Congo. Lakini nachojua hata uganda akiingia ilimradi Tz, SA, Malawi, Burundi na hata Zimbabwe wanasaport Serikali ya Congo, na hata jumuia ya kimataifa inawaomba Rwanda watoe majeshi yake Congo, basi amini Rwanda, Uganda hawatoboi.
Kwenye vita vya aina hii hakuna yeyote atakeyetoboa, watakaoumia ni raia tu.
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
unasahau kuwa wew ni mhutu , au unahis kuna kabila linaitwa wahutu
 
Kama kuna namna yoyote ya kummaliza Kagame hata kwa kutumia snipers itakuwa jambo la heri. Ni itakuwa mwisho wa vita hivi.
 
Kwa wale msiojua, jeshi la Burundi limepewa msaada wa vifaa na kivita na Tanzania, hii ni brainchild ya JK baada ya kuingizwa mchezoni..
(Kama ni kweli)Tanzania itafaidika nini kutapanya pesa za walipa kodi huko Burundi??
 
Back
Top Bottom