Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Hamna kazi hapo.
Hakuna nchi yeyote ukanda huu anaeweza kukabilisna na Rwanda. Kwa SADC angalau Angola peke ake ndie mwenye afadhali kupiga beto na mnyarwanda. Nje ya SADc ni Ethiopia tu mwenye uwezo huo. Hao wengine ni kelele tu na mbwembwe na tambo za kitoto.

Burundi tayari yuko DRC kitambo kumsaidia Tshesekedi lakini wameishia kukamatwa mateka na m23.
Tatizo jingine ni kuwa 35% ya askari wa kirundi ni watusi ambao Wana mapenzi ya moyoni kwa watusi wenzao wa Rwanda. Kumbuka mgogoro huu kiini chake ni ukabira hivyo ni vigumu kwa watusi wa pande mbili kuuana.
Dogo tutolee hapa hizi stori za kwenye gahawa na tangawizi.Njoo na facts acha mbwembwe.
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Sisi kama wazee wao hatutakiwi kukaa kimya mtoto miyeyusho lazima akandwe
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Rwanda izuiwe kuanzisha vita vya kikanda.
 
kwa akili ndogo na za hovyo zilizojaa ukabila kama wewe na Congolese, I hope M23 washinde vita
Tuache unafiki, Mmatusi hachangamaniki na binadamu mwingine yeyote hapa duniani.., they are too full of themselves, wabaki Rwanda kwa amani. Wasivamie nchi zingine.., kipindi kile waliitwa coakroaches, and rightly so, ona wanavyomiminika kwa ukorofi kwenye nchi ya watu, kama mende toka chooni, warudi chooni kwao!
 
DRC, Tanzania na Burundi hazipo EAC? We unavyoina hawa watakuwa upande wa Rwanda?
Ngoja na Burundi zianze ethnic wars kwasababu Burundi ni Bomu linaloenda kupasuka Burundi pia kuna mgogoro uliopoa wa Hutu na Tutsi itakayoathirika ni Tanzania kwa sababu ya Maelfu ya Wakimbizi watavuka mpaka.

Mimi nawashauri Wanasiasa waache kuuchochea huu mgogoro tena nawaomba sana🙏🏼
 
Back
Top Bottom