Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Tooo late.
Tayari raia wameanza kuinga mkono M23.
Hakuna serikali itakubali kuua raia wake.

Kuna hatari Tshiked kukimbia nchi.
Tuupe muda nafasi
Kama Assad alikaza akaachia, hata Felix ni suala la muda. Sijasikia C
Comments za rais Kabila kwenye huu mzozo
 
Tatizo nyie mlio pro kagame kosa mnalo fanya ni kumpa sifa nyingi kagame zio sio mstahiri over rating kageme ni propaganda nyingine inao fanywa na vipenyo vya watusi walio sabaa mpaka Tanzania.

Domestic politics kagema amefail hamna stability ndani ya Rwanda zaidi ya kuua au kufunga wapinzani wake, la pili hao watusi unao sema hawana umoja kama unavo sema na hawaminiani kabisa.

Kagema alicho nacho kuliko viongozi wengine ni kwamba anaweza akauua bila huruma ana roho ya kunchwa damu ya watu wake na majirani homicidal dictator ni mtu anae anzisha vita bila kuhesabu madhara yake, kwa mfano hi vita ya Congo ina mcost sanaa mpaka vikosi visio vya watusi vimeingilia kati kusaidia.

Suala la Burundi kutawaliwa na mtusi ni gumu hiyo vita haiwezi kuisha leo na warundi ni wapiganaji wazuri hata kuliko hao watsi wa Rwanda mpaka leo mpaka wa Rwanda na Burudi ulishwa fungwa na kagame ameshindwa kulitataua hilo.

Hakina hija ya msingi kwa Tanzania ķuingilia kati kwenye vita hi isio tuhusu, nikjmpa kagame fursa ya kupenyeza watu wake ndani ya nchi, na kumpa umuhimi usio hitajika hao tilisha wazea mwishowe watakuja Arusha kutatuliwa tatizo lao through dialogue
Siku kagame akiondoka kwenye power,wahutu milioni 10 watawaua watutsi milioni 2 kama sisimizi,kagame amefeli kuwaunganisha wanyarwanda badala yake kawapa nguvu kubwa watutsi wenzake
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Mambo ya wahutu na watusi yamerudi.
 
View: https://x.com/ali_naka/status/1885169557947535711?t=uSnmWUXCQN6KlarQVvgK7Q&s=19
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Kwasasa hatuingii kwenye mgogoro wowote, labda baada ya uchaguzi
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Burundi wanatoa msaada kuwafurusha magaidi, labda tujiulize jeshi la rwanda linafanya nini Congo?
 
Raia wanaangalia upepo unavuma kuelekea wapi ,ila kimsingi hawapendi
 
Back
Top Bottom