Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Tatizo nyie mlio pro kagame kosa mnalo fanya ni kumpa sifa nyingi kagame zisio mstahiri "over rating" Kageme ni propaganda nyingine inao fanywa na vipenyo vya watusi walio sambaa mpaka Tanzania.Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Source : DW Swahili leo mchana.

Hiyo vita Tanzania tuchague kulinda AMANI pekee.Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Tooo late.M23 apigwe aache upumbavu wake
Vita vina harufu Kali ya ukabila ndani yakeSource : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Anachokitafuta Burundi Congo, ndicho anachokitafuta Rwanda Congo.Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Hawezi kukimbia, kwa Sababu Burundi imeingia basi naamini Tanzania itaingia kupeleka wajenda, hata Zimbabwe itaingia.Tooo late.
Tayari raia wameanza kuinga mkono M23.
Hakuna serikali itakubali kuua raia wake.
Kuna hatari Tshiked kukimbia nchi.
Tuupe muda nafasi
Yani ikitokea hivyo......lazima Rwanda na Uganda nao wataingia direct .....Burundi hata akiwezeshwa vipi hawezi kufikia uwezo wa jeshi la Rwanda na UgandaTutarajie Burundi kuwezeshwa na kuwa na uwezo mkubwa wa kijeshi.
Wa mbali hawana sababu ya kuingia direct......hapo zitapigwa proxy tu.....na akiingia burundi direct basi atafanya Rwanda na Uganda nao kuingia direct ndo maana jamaa wamesem kama wanataka vita ije tu.........kila upande wameshajipanga ila upepo upo kwa M23 zaidiHawezi kukimbia, kwa Sababu Burundi imeingia basi naamini Tanzania itaingia kupeleka wajenda, hata Zimbabwe itaingia.
Tulia uone kipigo cha maana kitakachotolewa kwa M23 na hao wahuni wengine.Tooo late.
Tayari raia wameanza kuinga mkono M23.
Hakuna serikali itakubali kuua raia wake.
Kuna hatari Tshiked kukimbia nchi.
Tuupe muda nafasi
Bro. Tuombe kuwa raia wengi wasiiunge mkono M23.Hawezi kukimbia, kwa Sababu Burundi imeingia basi naamini Tanzania itaingia kupeleka wajenda, hata Zimbabwe itaingia.
Nimetulia mkuuTulia uone kipigo cha maana kitakachotolewa kwa M23 na hao wahuni wengine.
Uganda Tangu juzi wamepeleka majeshi mipakani na Congo. Lakini nachojua hata uganda akiingia ilimradi Tz, SA, Malawi, Burundi na hata Zimbabwe wanasaport Serikali ya Congo, na hata jumuia ya kimataifa inawaomba Rwanda watoe majeshi yake Congo, basi amini Rwanda, Uganda hawatoboi.Wa mbali hawana sababu ya kuingia direct......hapo zitapigwa proxy tu.....na akiingia burundi direct basi atafanya Rwanda na Uganda nao kuingia direct ndo maana jamaa wamesem kama wanataka vita ije tu.........kila upande wameshajipanga ila upepo upo kwa M23 zaidi
jeshi la Burundi wanajeshi ni wahutuTutarajie Burundi kuwezeshwa na kuwa na uwezo mkubwa wa kijeshi.