Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hii sio Mara ya kwanza au ya pili kwa jeshi la Ethiopia kuingia Kenya na kuua watu bila kukutana na jibu lolote toka KDF.

Serikali ya Kenya zaidi ya kulalamika Mara kwa Mara, hakuna hatua zozote inazochukua, jamba linaloifanya Ethiopia kuendeleza tabia yake ya kuvuka mpaka wa Kenya na kuuwa wakenya vile wapendavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingereza imelemea mchawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingereza imelemea mchawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Failed state ninyi, wakenya wanauliwa ndani ya ardhi ya Kenya, ninyi mnadhani ni sawa eti kwasababu wanapigana wenyewe kwa wenyewe, kitendo cha wao kuvuka mpaka na kuingia Kenya, ni dharau sana kwa KDF, kwasababu wanajua huko Kenya hakuna jeshi imara la kuwafukuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania nchi mnyonge sana, mbwa wa kubweka tu, hawezi uma, TPDF wanapigwa mapanga na rebels kule Congo!., see your life now., kiswahili tu na Bongo flava (muziki) hakuna lingine zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenu dhaifu limewahi kufanikiwa mission gani?
Swali gumu sana hili kwa wakenya 😂😂😂
 
Jeshi lenu dhaifu limewahi kufanikiwa mission gani?
Swali gumu sana hili kwa wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kismayu the former headquarters ya Al Shabaab iko mikononi mwa nani?., jibu kaka? Ras Kamboni je? How did KDF fared in Bosnia?, Sierra Leonne??, hauijui Kenya vizuri, ni kwa taarifa za mitandao na hadithi za vijiweni ukichanganya na wivu tupu.

Mistakes kwa battlefields na deaths hutokea, marekani na Britain wamenyoroshwa mara kadhaa uarabuni, check documentaries online uone, haimaanishi hawajakua na successful mission.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikajua utaleta mission za maana kumbe ujinga,
Hapa umeongelea ujinga na vijimission vya mboga,
Hao wasomali mbona bado wanaingia hapo kenya na kufanya chochote?
Jeshi lenu ni kujisifia ujinga wakati kwa ground vitu ni different wanaishia kuiba mikate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…