joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii sio Mara ya kwanza au ya pili kwa jeshi la Ethiopia kuingia Kenya na kuua watu bila kukutana na jibu lolote toka KDF.
Serikali ya Kenya zaidi ya kulalamika Mara kwa Mara, hakuna hatua zozote inazochukua, jamba linaloifanya Ethiopia kuendeleza tabia yake ya kuvuka mpaka wa Kenya na kuuwa wakenya vile wapendavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app