Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Wewe ni mjinga. Sitapingana na wewe. Sawa sisi hatupandi chakula chochote. Tunaimport kila kitu.
 
Hahaa delusion of grandeur at it's best
 
nimekumbuka KDF walivyokua wanapambana wasteget nikasikia aibu kubwa mno
 
Wewe ni mjinga. Sitapingana na wewe. Sawa sisi hatupandi chakula chochote. Tunaimport kila kitu.
Ninyi wakenya ninarudia hamna akili kabisa, rais wenu anakiri kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, kwamba chakula mnachozalisha hakitoshelezi mahitaji yenu hivyo kulazimika kuagiza chakula toka nchi za nje ili kujaza pengo lakini bado mnabisha. Ninyi ni watu hovyo sana na wajinga wakubwa kupata kuwajua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado unaendeleza upumbavu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
komora096
 
Haya ni mapambano madogo sana. Eti vita ya mwaka mmoja kisha mnarudi nyumbani. KDF ipo Somalia kwa miaka tisa sasa na hatuna mpango wa kutoka. Nyie ni waoga sana.
Kiswahili kwako tatizo jombaa... Jifunze kwanza kiswahili mzee...
 
Acha uboya mzee hata hao wakenya yanapokuja masuala ya kitaifa hautomuona mjaluo wala mkikuyu utaona wakenya sasa wewe huu uzwazwa sijui unautoa wapi
 
Unaujua Uzalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi. Osama sio muarabu kamili. Lakini umekosea mahali. Babake alitokea Yemen. Nimesoma kwenye Wikipedia
Bro Osama mama yake ndio mwarabu ila yeye sio mwarabu.
Mm niliisikiliza story ya Osama Aljazeera inside story kwamba babaye Osama ndio aliishigi Yemen ni kweli ila asili yake ni Afghanistan.
Yan origin yake.
Ila sio mwarabu.
Na ndugu asilimia kubwa wako Afghanistan .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We don't "depend" haswa, sisi sio ldc, we BUY, nchi kama marekani na china wanajipendekeza tu na pia Russia, hatuwaombi watupe chakula, they only react to our free media reports. Ingekua janga linatokea Tanzania hamna uwezo wakujisaidia hataa kidogo! Hamuwezi peana donation anywhere!., your income isn't sufficient to meet your needs. Inabidii muuze mazao lakini bado haitoshi kuwatoa kutoka kwa uchochole, you need an industrial revolution ili mpone, la sivyo reports kama ya Multidimensional Poverty in a country ita wa aibisha kila mwaka!
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Kenya can't feed itself, we depend on imports from Uganda, Tanzania, and the situation will get worse in future. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli na uzalendo zina ambatana sambamba. Mtu akisema ukweli kuhusu mambo yalivyo Tanzania si vyema kusema yeye si mzalendo. Blind patriotism is bullshit! Grow up man. Kubali ukweli, rekebisha makosa kisha mtafaulu, la sivyo kila mwaka credible data itaendelea kuonyesha vile umasikini inaongezeka Tz.,
Unaujua Uzalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…