Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Haaaaa, typical stupid Kunyaman. Tukisema uwezo wenu wa akili ni mdogo mnasema tunawadharau. Haiwezikani watu wanakufa kwa njaa kwa kukosa chakula, eti unasema wanachagua chakula. Kenya can't feed itself, you import your food year in year out, nearly you import all staple food from Tanzania and Uganda
1)Maize = Tanzania, Uganda, Mexico
2)Rice = Tanzania
3)Wheat = Tanzania
4)Fruits =Tanzania
5)Onions =Tanzania
What you produce in Kenya, is below 20% of your requirements


Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni mjinga. Sitapingana na wewe. Sawa sisi hatupandi chakula chochote. Tunaimport kila kitu.
 
Haaaaa, typical stupid Kunyaman. Tukisema uwezo wenu wa akili ni mdogo mnasema tunawadharau. Haiwezikani watu wanakufa kwa njaa kwa kukosa chakula, eti unasema wanachagua chakula. Kenya can't feed itself, you import your food year in year out, nearly you import all staple food from Tanzania and Uganda
1)Maize = Tanzania, Uganda, Mexico
2)Rice = Tanzania
3)Wheat = Tanzania
4)Fruits =Tanzania
5)Onions =Tanzania
What you produce in Kenya, is below 20% of your requirements


Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaa delusion of grandeur at it's best
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kismayu the former headquarters ya Al Shabaab iko mikononi mwa nani?., jibu kaka? Ras Kamboni je? How did KDF fared in Bosnia?, Sierra Leonne??, hauijui Kenya vizuri, ni kwa taarifa za mitandao na hadithi za vijiweni ukichanganya na wivu tupu.

Mistakes kwa battlefields na deaths hutokea, marekani na Britain wamenyoroshwa mara kadhaa uarabuni, check documentaries online uone, haimaanishi hawajakua na successful mission.


Sent using Jamii Forums mobile app
nimekumbuka KDF walivyokua wanapambana wasteget nikasikia aibu kubwa mno
 
Wewe ni mjinga. Sitapingana na wewe. Sawa sisi hatupandi chakula chochote. Tunaimport kila kitu.
Ninyi wakenya ninarudia hamna akili kabisa, rais wenu anakiri kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, kwamba chakula mnachozalisha hakitoshelezi mahitaji yenu hivyo kulazimika kuagiza chakula toka nchi za nje ili kujaza pengo lakini bado mnabisha. Ninyi ni watu hovyo sana na wajinga wakubwa kupata kuwajua.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, kwahiyo majeshi ya nchi jirani kuvuka mpaka na kuingia nchini kwenu kufanya ndio uwanja wa mapigano na kufikia hatua ya raia wenu kuuliwa hilo ni sawa kwa akili zenu?.

Joseph Konyi aliposhindwa na majeshi ya Uganda alikimbilia kujificha DRC, wapiganaji wa ADF na wale wa Ntarahamwe toka Rwanda walikwenda DRC, huko ndio uwanja wa mapambano wa majeshi toka nchi jirani kwasababu jeshi la DRC ni dhahifu Sana kulinda mipaka ya nchi yao kama ilivyo KDF, ndio sababu wanavuka mpaka kuingia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaendeleza upumbavu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tony254 babayao255 Rich Ze Best Kosugi joto la jiwe


Msumbiji
Vita isiyojulikana sana wakati wake ilikuwa kuingilia kwa JWTZ katika nchi jirani ya Msumbiji kwa shabaha ya kusaidia serikali ya chama cha Frelimo. Kulikuwa na vipindi viwili vya usaidizi huu.

Kipindi cha kwanza kilikuwa 1977-78 wakati jeshi la Rhodesia iliingia ndani ya Msumbiji. Rhodesia (leo:Zimbabwe) ilitawaliwa wakati ule na serikali ya walowezi Wazungu chini ya Ian Smith. Warhodesia walijaribu kuangamiza vikundi vya wapinzani kutoka kwao waliotafuta kupindua serikali ya walowezi wakijificha katika Msumbiji na kushambulia kutoka huku. Hapo vikosi vya Rhodesia viliingia mara kadhaa ndani ya Msumbiji halafu Rhodesia ilianzisha harakati ya Renamo kwa kukusanya wapinzani dhidi ya Frelimo na kuwapa silaha. Baada ya kuenea kwa vita ndani ya Rhodesia jeshi lake lilishambulia kambi kubwa ya wapinzani chini ya Robert Mugabe katika Mkoa wa Manica wa Msumbiji. Hapo Tanzania ilituma wanajeshi wake kwa shabaha ya kuimarisha utawala wa Frelimo wakarudi kwao mwaka ufuatao 1978.[10]

Baada ya Mapatano ya Lancaster House ya mwaka 1979 vita ya Rhodesia - Zimbabwe ilikwisha. Sasa ilikuwa serikali ya apartheid ya Afrika Kusini iliyochukua nafasi ya mdhamini wa Renamo. Miaka iliyofuata iliona vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji kati ya Frelimo iliyosaidiwa na Urusi ikifaulu kutetea miji na Renamo iliyosaidiwa na Afrika Kusini ikifaulu kutawala sehemu kubwa ya mashambani na vijiji vingi. Mwaka 1982 maraisi Machel wa Msumbiji na Nyerere walipatana kutumwa kwa kikosi kidogo cha askari 200 wa JWTZ kwa kazi ya washauri kwenda Msumbiji.[11] Mwaka 1987 Tanzania iliamua tena kutuma askari wengi wa JWTZ hasa kwa kusudi la kutetea Mkoa wa Zambezia dhidi ya Renamo. Waliondoka tena mwaka 1988.[12]
komora096
 
Haya ni mapambano madogo sana. Eti vita ya mwaka mmoja kisha mnarudi nyumbani. KDF ipo Somalia kwa miaka tisa sasa na hatuna mpango wa kutoka. Nyie ni waoga sana.
Kiswahili kwako tatizo jombaa... Jifunze kwanza kiswahili mzee...
 
Acha uboya mzee hata hao wakenya yanapokuja masuala ya kitaifa hautomuona mjaluo wala mkikuyu utaona wakenya sasa wewe huu uzwazwa sijui unautoa wapi
Unapoligawa taifa upande wa walioonewa wote unaungana na adui.

Labda nikuulize CCM mmeshinda 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kidhuluma.

Dunia nzima inajua kwa namna Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania na CCM inavyochukiwa tz hamuwezi kushinda 99.9% Leo hii ikianza Vita mnadhani wale mliowaonea wata side upande gani?
 
Unapoligawa taifa upande wa walioonewa wote unaungana na adui.

Labda nikuulize CCM mmeshinda 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kidhuluma.

Dunia nzima inajua kwa namna Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania na CCM inavyochukiwa tz hamuwezi kushinda 99.9% Leo hii ikianza Vita mnadhani wale mliowaonea wata side upande gani?
Unaujua Uzalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi. Osama sio muarabu kamili. Lakini umekosea mahali. Babake alitokea Yemen. Nimesoma kwenye Wikipedia
Bro Osama mama yake ndio mwarabu ila yeye sio mwarabu.
Mm niliisikiliza story ya Osama Aljazeera inside story kwamba babaye Osama ndio aliishigi Yemen ni kweli ila asili yake ni Afghanistan.
Yan origin yake.
Ila sio mwarabu.
Na ndugu asilimia kubwa wako Afghanistan .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We don't "depend" haswa, sisi sio ldc, we BUY, nchi kama marekani na china wanajipendekeza tu na pia Russia, hatuwaombi watupe chakula, they only react to our free media reports. Ingekua janga linatokea Tanzania hamna uwezo wakujisaidia hataa kidogo! Hamuwezi peana donation anywhere!., your income isn't sufficient to meet your needs. Inabidii muuze mazao lakini bado haitoshi kuwatoa kutoka kwa uchochole, you need an industrial revolution ili mpone, la sivyo reports kama ya Multidimensional Poverty in a country ita wa aibisha kila mwaka!

Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Kenya can't feed itself, we depend on imports from Uganda, Tanzania, and the situation will get worse in future. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli na uzalendo zina ambatana sambamba. Mtu akisema ukweli kuhusu mambo yalivyo Tanzania si vyema kusema yeye si mzalendo. Blind patriotism is bullshit! Grow up man. Kubali ukweli, rekebisha makosa kisha mtafaulu, la sivyo kila mwaka credible data itaendelea kuonyesha vile umasikini inaongezeka Tz.,
Unaujua Uzalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom