Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Je unaelewa ideological warfare? Al Shabaab sio merely wasomali kaka, ni kikundi cha waislamu walio "potoka", ndani kuna watanzania, Kenyans, wakongomani, somalis etc, pia ndugu yako ama watu kutokaa ukoo wako waeza kua pale., how do u fight them if they are hidden amongst you?., kumbe wewe ni ovyo kimafikira hivyo?
Any war that involves ideology is hard to fight and finish or even win, unaeza succeed na kushinda in battle but lose the war, kama unaelewa namaanisha nini., angalia wamarekani?
My opinion, vita dhidi ya maghaidi na wana mgambo, haiwezi suluhishwa kupitia risasi. Tafakari kama una uwezo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubali kuwa jeshi lenu pamoja na inteligensia ni wabovu,
Mnapoteza wananchi wenu wasio na hatia na hakuna cha maana mnachofanya kule,
Mipaka yenu hamlindi ndio maana wanaingia wanavyotaka.
 
Magaidi ni ndugu yako na jirani yako wewe. Leta TPDF kisha tutazungumza, mengine itakua opinion na inference, mere propaganda. Kindergarten argument. Utoto mtupu, nothing scholarly or mature. Alamsiki kaka.
Kubali kuwa jeshi lenu pamoja na inteligensia ni wabovu,
Mnapoteza wananchi wenu wasio na hatia na hakuna cha maana mnachofanya kule,
Mipaka yenu hamlindi ndio maana wanaingia wanavyotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi ni ndugu yako na jirani yako wewe. Leta TPDF kisha tutazungumza, mengine itakua opinion na inference, mere propaganda. Kindergarten argument. Utoto mtupu, nothing scholarly or mature. Alamsiki kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka m23 walichofanywa?
Ongea Vyovyote ila jeshi lenu ni dhaifu sana.
 

Setikali ya Kenya ni ya ajabu sana, wanajeshi wao wanakufa kila siku kutokana na magari yao kukanyanya mabomu ya kutegwa, yaani wanashindwa kuwapatia wanajeshi wao harmoured vehicles wanawacha wanatumia landcruiser
 
Umeulizwa ni mission gani KDF iliyifanikisha?, unajua maana ya "Mission completed??". Lengo la KDF lilikua ni lipi, je limekamilika au " it is on going exercise, which might end up to either competed, abandoned or failure?. KDF ilishindwa South Sudan na ikajitoa kwa aibu kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wajinga hawafahamu chochote kuhusu nchi yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Namuuliza mission ambazo jeshi lao dhaifu limewahi fanikiwa yeye analeta ujinga,
Yaaani wanachojua tu ni ushabiki maandazi.
 
KDF wanakula yellow maize... Ethiopians wanakula menu ya kijeshi...hapo Ethiopians wanaingia hadi na wake zao nyumbani mwa KDF...
Ethiopia wanakula injera, chakula hafifu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…